Swali Fikirishi: Treni ya umeme itakuja na 'standby generator' au?

omarion5

JF-Expert Member
Oct 14, 2017
5,213
2,000
Usipande tu mkuu tuachie sisi tupande tu afu huu uzi ulitakuwa uwe HABARI NA HOJA MCHANGANYIKO.
 
Dr Akili

JF-Expert Member
Aug 21, 2011
3,959
2,000
Jamani naomba tuweke siasa pembeni,

Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme.

Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika.
Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu mara paaap kifurushi cha Tanesco kimekata katikati ya safari.

Mi hapana hiyo treni mtapanda wenyewe asee.
Acha ushamba. Siku hizi kuna hata electric cars barabarani nyingi tu. Tekinolojia ime advance sana. Lengo ni kuachana kabisa na biashara ya mafuta ya disel na petroli. Kikwazo kimekuwa ni hao wenye mafuta kujaribu ku block tekinolojia hii kwa kutumia rushwa. Muda si mrefu magari yote na treni zote zitakuwa full electric na baadaye zitakuwa full electronic (digital). Hivyo usiwe na wasi wasi kwamba trains hizo kama zilivyo hizo electric cars barabarani zinatumia wire za umeme wa tanesco! La haswa.
 
Ki Mun

JF-Expert Member
Oct 6, 2014
3,447
2,000
Jamani naomba tuweke siasa pembeni,

Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme.

Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika.
Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu mara paaap kifurushi cha Tanesco kimekata katikati ya safari.

Mi hapana hiyo treni mtapanda wenyewe asee.
Treni yenyewe si anawawazia tu Wasukuma wenzie? Wacha tu ije iwazimikie porini
 
bandamo

JF-Expert Member
Aug 5, 2017
1,939
2,000
Inakuwa na imejensi ya kutosha km 50 Inakuwa imefika mahari salaama au huduma ya umeme imerejea katika hari ya kawaida
 
Allineando

JF-Expert Member
Aug 7, 2016
2,055
2,000
Yesu Ni Mungu Na apa hakuna Cha treni ya umeme itakuwa Kama ile srg ya Kenya. Hivi bado mnamuani huyu rais wa mwanza? Kama sukari tu kasema alikuta 5000 hamuoni hamumuoni ni bonge la bogus
Wee kiumbe una akil kubwa mnoo ktk wote walio changia huu uzi
 
julius milla

JF-Expert Member
Sep 8, 2017
633
500
Yangu macho na masikio,kwa kukurupuka huku kwa jamaa, labda kila abiria atakuwa na Generator standby kwenye treni.
 
Kifyatu

JF-Expert Member
Oct 12, 2010
3,385
2,000
Jamani naomba tuweke siasa pembeni,

Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme.

Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika.
Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu mara paaap kifurushi cha Tanesco kimekata katikati ya safari.

Mi hapana hiyo treni mtapanda wenyewe asee.
Hahaaaaaa!

Itakuwa na solar-panels.

Mainjinia wote watakuwa na usafiri wa UNGO endapo watahitajika popote pale.
 
Usher-smith MD

JF-Expert Member
Jul 7, 2015
8,525
2,000
Itakuwa na "solar panels "
Jamani naomba tuweke siasa pembeni,

Kimsingi nahitaji kujua hili suala. Ni kweli serikali yetu inafanya jitihahada kubwa kujenga ile reli ya 'standard gauge' kwa ajili ya kupita Treni ya umeme.

Ni wazi kuwa umeme wetu sio wa uhakika.
Hapa najaribu kuvuta picha ndo nimepanda hiyo treni afu mara paaap kifurushi cha Tanesco kimekata katikati ya safari.

Mi hapana hiyo treni mtapanda wenyewe asee.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom