Swali fikirishi: Sababu kubwa ya Wajerumani kupeleka fuvu la Mtemi Mkwawa nchini Ujerumani zilikuwa ni zipi?

Mkwava alikuwa na maslahi na waarabu kwenye mambo yafutayo:-

1. Silaha na Mafunzo
2. Biashara ya pembe za ndovu
3. Biashara ya nguo
4. Dini.
5. Kodii
Mlimdharau Mkwawa nilipopata historia yake ya kweli ambayo haijaandikwa

Kumbe alikuwa anatumiwa na waarabu ili kumpinga Mjerumani

Jamaa alikuwa anawakamata watumwa kutoka makabila mengine na kuwauzia waarabu

Alikuwa anapewa zawadi ya kanzu na waarabu anaridhika

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nadharia yako ni nzuri, lakini ni ya mbele ya pazia. Kilichopo nyuma ya pazia ni kingine
Kwanza nadhani waliofanikiwa kukipata kichwa chake walitaka kwenda kuwathibitishia wakubwa wao kuwa huyu ndiye mtu aliyetusumbua Sana na kuuwa watu wetu wengi,na huenda walipandishwa vyeo kwa ushujaa huo,lakini Jambo la pili ni kulitunza fuvu kama ishara ya kuwakumbuka wenzao waliouwawa kwenye vita vile pamoja na kuiondoa kumbukumbu kwa watu wa jamii ya Mkwawa na vizazi vyao. Haya ni maoni yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Excellent, Hilo ndio jibu sahihi
Kuna society inaitwa,SKULL&BONES..
Hawa hufanya matambiko ya kunywa damu ,Kama sikosei za watu,Hilo fuvu hutumika Kama kikombe.
Wakishafanya matambiko hayo wanna maintain power.
Kwahiyo ruling elite wengi mfano Rais Bush ni member wa skull&bone society

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtemi Mkwavinyika Munyigumba Mwamuyinga ni moja kati ya wahenga wetu wenye historia kubwa sana ya ushujaa hapa Tanganyika, nadhani kwenye orodha yangu namuweka na wakina Mirambo pamoja na Abushiri.

Mtemi Mkwawa alipigana vita kubwa na makabila yaliyoogopeka hapa Tanganyika, kuna kipindi Chabruma chifu wa Wangoni kabila ambalo liliogopeka kusini yote alijaribu kumchokonoa alitafutwa sana hadi akaenda kujificha.

Pia inasemekana Wamassai ambao walipiga makabila mengi ya Kaskazini walipojaribu kushuka Kusini walikutana na vikosi vya Mkwawa mpakani mwa Himaya yake kule Morogoro. Wamassai na ubabe wao wote walitulizwa hadi wakakubaliana na Mkwawa kwamba hawatashuka Kusini.

Nakumbuka niliwahi kusoma nyaraka fulani miaka ya nyuma kidogo ambapo wanajeshi wa Ujerumani walisema hivi kuhusu wahehe "these people know nothing than war, it's like they bred only to fight wars".

Wakati anapigana na Wajerumani kilichowashangaza zaidi ni pale ambapo alitumia mkakati (Strategy) ambao ulitumiwa na Napoleon Bonaparte kwenye Vita ya Mapiramidi kule Misri. Ule mkakati ndiyo unamfanya Napoleon aitwe Military Genius mpaka leo.

Swali nalojiuliza ni hili: Nini kiliwafanya Wajerumani wachukue fuvu la Mtemi Mkwavinyika na kulipeleka kwao Ujerumani? Sababu kubwa hasa ni nini?

Nakumbuka huu mchezo ulifanywa hadi kwa chifu wa Wahindi wekundu Geranimo ambaye alipambana sana na wazungu kulinda ardhi yao isinyanganywe. Walikata fuvu lake na kuondoka nalo kusikojulikana.
History..!! Nonsense subject.
.
 
At
this point, George W. drank human blood from a goblet shaped as a human skull. But, there is still more horror:

"I was shocked to discover that the Goddess Eulogia is a fabrication. And not a simple fabrication but one that leads us to something very specific. There never was a Roman goddess by that name. However, students of New Testament Greek know that Eulogia is one of the names given to the sacrament as in St. Paul's first letter to the Corinthians: 'The cup of blessing ('eulogia') which we bless, is it not the communion of the blood of Christ?' Alarming to me and perhaps it will be to you, rather than honoring the sacrament, we see that the secret society initiation culminates in a parody of partaking of the blood of Christ. This parody is known in other contexts as the sinful Black Mass. We know Black Mass is not truly parody but blasphemy and sacrilege. Invoking Judas, dishonoring the Pope and violating the sacrament is terrible sacrilege."

At this point, you must realize that George W. Bush has just drank blood which symbolizes Jesus' blood! I find it difficult to comprehend this type of blasphemy. Yet, Mr. Alper is entirely correct, when he states the doctrinal truth that Bush could have repented of this sin and received forgiveness. However, the evidence is clear that Mr. Bush
 
SI watu wanabisha tu,bila kufanya research.
Screenshot_20191222-003651~2.png
 
Mlimdharau Mkwawa nilipopata historia yake ya kweli ambayo haijaandikwa

Kumbe alikuwa anatumiwa na waarabu ili kumpinga Mjerumani

Jamaa alikuwa anawakamata watumwa kutoka makabila mengine na kuwauzia waarabu

Alikuwa anapewa zawadi ya kanzu na waarabu anaridhika

Sent using Jamii Forums mobile app
Alikuwa anapewa zawadi ya kanzu na waarabu anaridhika


Sent using Jamii Forums mobile app
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom