nditolo
JF-Expert Member
- Jul 2, 2011
- 3,609
- 4,097
Huko Tabora Kuna mfanyabiashara kauwawa Kwa kupigwa risasi Jana tarehe 16/7/2022. Leo tarehe 17/7/2022 watuhumiwa wawili wamekamatwa na upelelezi unaendelea. Na pia marehemu kazikwa.
Je! Marehemu kahojiwa lini? Ikumbukwe suala la Tundu Lissu kupigwa risasi linasubiri Tundu Lissu arudi then ahojiwe ili waanze kupeleleza.
Haya mambo yanakera sana.
Suala la katiba mpya ni muhimu kuvunja idara ya polisi na kuiunda upya Kwa Sheria mpya. Polisi iwe ni idara ya huduma kama uhamiaji na magereza.