Swali Fikirishi: Hivi Ikulu ya Chamwino kuna nini hata Rais asikae?

Ukitaka kujua Dodoma hakukaliki kila Ijumaa fanya safari kuanzia Dar-Dom kuanzia saa tisa mchana. STL na V8 zinazotoka Dom kwenda Dar zinazidi Idadi ya Bus za abiria. Hivyo hivyo na Jumapili Dar-Dom
Miaka yangu 20+ ya kukaa Dom & Dar na kusafiri kati ya Dom & Dar sijawahi ona mashangingi yakitengeneza foleni kama kuanzia 2016 mpaka sasa.
Barabara imekuwa busy kuliko "Ocean Road/Obama Road".
 
Moja ya maamuz ya hovyo kabisa kabisa kuwahi kufanywa na ndug John Pombe Maghufuli aka Nzagamba au jiwe ni kuhamisha serikali kwenda Dodoma , maamuz ya hovyo mnoo, ukiwa mwepesi wa kufikri utashangilia Ila ukienda deep jamaa aliharibu Sana ......!!! Mwamba alikuwa mkrupukaji kinyama
 
Kuna watu bado wanaumia na hili, hii ilikuwa ni sera ya chama pendwa watu wakubali tu makao makuu sio Dar na JPM akaja kuvunja hata hili jiji ikawa Ilala tu hii linawatesa watu wanamchukia marehemu na wakati mwingine wanamkumbuka. Hujui watu wanataka nini. Tanzania nchi kubwa yale mambo ya zamani hata ukitaka passport Dar yameisha haya yanawatesa watu. Huko nasikia ndio kwanza majengo ya gorofa wizara zote wameanza kujenga. tukubali matokeo unataka kuishi Dar ishi unataka Arusha ishi kokote ila makao makuu Dodoma.
 
Watu wengi serikalini hasa mawizani hawakutaka kuhamia Dodoma, ndio maana Magufuli alilazimisha.. hivyo watu kama mama Samia amezoea raharaha na matanuzi ndo maana yeye na wasidizi wake wanaandaa agenda za uwongo na kweli ili wawe Dar au Zanzibar..Ndo mqana hata speed ya ujenzi Dodoma kwa uoende wa serikali imedorora
Dodoma hakukaliki ...kuna faa wenyewe wagogo na sGANG
 
Kama ilivyo hapo juu, ni kwanini Rais wetu kila akikaa pale Ikulu ya Chamwino muda mchache tu utamsikia amerudi Dar?

Hivi Ikulu ya Dar kuna mafaili yaliyobaki ambayo ni lazima kila muda arudi huko?

Kuna Moto gani pale unaowaka na kumchoma hata asifanyie shughuli zake hapo?

Nawasilisha.
Mama mpendwa raha huyo
 
Mimi ni Raisi, bibi,mama, na ni mke wa mtu.

Tumeona inakuwa safari ndefu baba watoto atoke Zanzibar aje dodoma kisa mke

Ni vizuri Samia akae dar kumrahisishia mume wake safari za kuja kumsalimia.
 
Back
Top Bottom