residentura
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 7,012
- 9,593
Miaka yangu 20+ ya kukaa Dom & Dar na kusafiri kati ya Dom & Dar sijawahi ona mashangingi yakitengeneza foleni kama kuanzia 2016 mpaka sasa.Ukitaka kujua Dodoma hakukaliki kila Ijumaa fanya safari kuanzia Dar-Dom kuanzia saa tisa mchana. STL na V8 zinazotoka Dom kwenda Dar zinazidi Idadi ya Bus za abiria. Hivyo hivyo na Jumapili Dar-Dom
Barabara imekuwa busy kuliko "Ocean Road/Obama Road".