Swali dogo: Kwanini KUB Mbowe huwa haudhurii sherehe za kitaifa?

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,447
Iwe ni sherehe za Uhuru, Muungano na hata Mei mosi ni aghalabu kumuona KUB na Mwenyekiti wa Chadema amehudhuria.

Mwenyekiti wa Cuf Prof Lipumba ni muhudhuriaji mzuri wa maadhimisho ya kitaifa nitumie nafasi hii kumpongeza.

Maendeleo hayana vyama!
 
exactly, jitenge nao
Kutoka Mlango wa 23
7 "Jitenge mbali na neno uongo; wala wasio hatia na wenye haki usiwaue; kwa kuwa mimi sitamhesabia haki yeye aliye mwovu".

Hesabu mlango wa 16:
21 Jitengeni ninyi mkaondoke kati ya mkutano huu, ili nipate kuwaangamiza mara moja.
Kwahiyo unatuambia KUB Mbowe anajitenga na Wafanyakazi?!
 
Back
Top Bottom