Swali dadisi:Mtaala wa elimu ya sayansi Tanzania ni muafaka kwa teknolojia ya wawekezaji wa nje?

Kididimo

JF-Expert Member
Sep 20, 2016
4,017
3,656
Tumeona maeneo kadha ya uwekezaji,wawekezaji wakiajiri watu kutoka makwao. Mfano Wachina! Nini kinakosekana kwa vijana wetu? Na kwa nini tusifanye ujasusi kwenye elimu au teknolojia kwa kupeleka vijana wengi huko wanakotoka?
 
Back
Top Bottom