Kiongozi wa Mbio za Mwenge huwa anachaguliwaje?

Hii inawezekana sio kweli mkuu kwa sababu yule Jordan Rugimbana ambaye ni mkuu ww mkoa wa Dodoma alikua ni kiongozi wa mbio za mwenge mwaka 2000 lakin mpaka leo anadunda ndan ya utawala huu wa Nyinyiem
Ana elimu gni?
 
Hao waliosema kuwa haipiti muda unavuta ni waongo na wazushi wakubwa , maana Mimi namfahamu mkimbiza mbio za mwenge kitaifa miaka Flani ya tisini mh Lugimbana Jordan (RC -Dododma ) yupo safi na ni kiongozi mzuri anayechapa kazi mpaka leo.
kayaman, post: 20860744, member: 161143"]unapaswa kuwa umeiva imani ya chama, alafu zamani tulikua tunaambiwa eti mbio zikiisha haipiti muda yule kiongozi anakufa!
 
Vigezo:
1.awe mjeshi/usalama
2 awe kada wa chama
3.uwe na mpiga debe atakaye kupendekeza kwa wakubwa(channel)
4.Kunakupokezana bara na visiwani.
Huwezi kuwa mjeshi/ usalama halafu use kada wa chama, usipotoshe umma
 
Hii ni sehemu ya kuelimishana na kupeana habari. Ndgu wanabodiKuuliza si ujinga jamani, bali nataka kujua, kiongozi wa mbio za mwenge huwa anachaguliwaje? Qualifixation zake? Huwa ni mjeshi au kada wa chama? Na analipwaje?

Kadi ya chama na uweze kutetea ujinga wowote kama ule wa Bashite
 
Lazima uwe umepitia katika mafunzo ya jeshi hasa JWTZ, JKT,JKU.
Sifa nyingine ni kwamba uwe katika system ya vyombo vya usalama.
Kwa wasaidizi wake ambao wanakuwa hawazidi kumi ni mtu yeyote aliyepitia mafunzo ya ukakamavu,hasa kijana.
Ila kadi ya CCM kwa wasaidizi ni addition factor.
 
Hpo tumekupata mkuu...sasa iweje huyu mtu hadi anaenda kufanya ufunguzi wa shughuli mbali mbali za maendeleo lkn elimu hatuiongelei? Kwa hiyo, samahani niulize, ctaki kumkwaza mtu. .. huwa ni mtu hata mbumbu?
 
mbona Bashite nae anafungua shughuli za maendeleo!!
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom