Swali chokonozi: Leo Makonda akihamia chadema hawatampokea??

Lendomz

JF-Expert Member
Feb 9, 2017
446
381
Siku moja walisema Lowasa ni fisadi mpaka mapovu yakawatoka utafikili mazezeta!! Alipohamia chadema wakasema ni mtakatifu kabisaa na mikono Yake misafi mno!!

Najiuliza hiviiii Leo makonda akihamia chadema watampokea?
Ukisema hapana au ndiyo toa sababu!!

Maana juzi Wema s.alipotajwa kwa wabugia unga chadema wakasema isiwe ...........tabu!!
 
Kwani akihamia si anahamia kama wengine?? Swali ni Je, ni yupi ahamie?? Mkuu wa mkoa aache kazi yake ahamie atoe sababu naridhawa mtamnyima je? Lipumba mbona karudi baada ya mwaka na uongozi wa nchi ukamkubali kuwa aendelee kuongoza CUF? Uliza swali jingine sio hilo
 
Mkuu kule hata uwe na dhimbi ukifika chadame unatubu Halafu napata nafasi ya kusafishwa kwa makosa yako yote na utakuwa mtakatifu.
 
Siyo kosa lako ni laana ya kula rambirambi za wafiwa ndiyo imeanza kukusumbua.
Mataahira hawa wanasahau kuwa goma la Lowassa ni two way traffic. Wao siku zote walisema SI FISADI mpaka alipohama ndio wanasema ni fisadi. Swali la msingi ni mbona hawampeleki mahakamani?

Majitu majinga yalayo rambi rambi na kufoji vyeti.
 
Leo nmekaa nkafakari sana na mwisho nkajiuliza hivi bashite ndye hasa adui yetu au tunajitoa akili tu. Kweli GT kwa sasa hatuwezi kuunganisha dots ?


Soma vizuri au mara mbili mana waweza usielewe namaana gani hapa
 
Nikikuuliza Mtoa mada, hivi makonda ana mgogoro wowote na chadema utanijibu? Chadema haina mgogoro na huyo unayemwita makonda. Makonda ana migogoro na watu binafsi anaowachafua kwa maslai yake, pia ana mgogoro na UMA/PUBLIC kwa kosa la kufoji cheti na kujipatia elimu na mambo mengine hivyo uma unamtaka aonyeshe cheti basi. Kwa hiyo unapoingiza chadema kwenye conflicts za makonda sijui unataka nini. Pili hakuna mtu anayekatazwa kuhamia chadema eiza msafi au mchafu cha msingi ni kukiri makosa, kutubu na kuwa tayari kupambana na kuwaondoa wachafu wenzako uliokuwa nao huko uliko toka.
 
Lowassa katukanwa zaid ya Makonda!

1) Makonda hajafikia kiwango cha kuwekwa kwny Tovuti Rasmi ya Chadema kwa Ubadhirifu Kama Lowassa

2) Makonda hajatukanwa kwa kasi na nguvu kubwa kuliko Lowassa

Hata Hivyo Nyumbu wote waliopo humu hawana uamuzi wa kumpokea au kutompokea Makonda, Maamuzi hayo anayo Mtu mmoja tu na wote Jukumu na Sharti Lao litakuwa kumsifia na kumshangilia pindi 'Mwenye Nyumba ' akileta Mpangaji Mpya wakishakubaliana!
 
Siku moja walisema Lowasa ni fisadi mpaka mapovu yakawatoka utafikili mazezeta!! Alipohamia chadema wakasema ni mtakatifu kabisaa na mikono Yake misafi mno!!

Najiuliza hiviiii Leo makonda akihamia chadema watampokea?
Ukisema hapana au ndiyo toa sababu!!

Maana juzi Wema s.alipotajwa kwa wabugia unga chadema wakasema isiwe ...........tabu!!
Aje na vyeti halali
 
Kama Mange aliyemtukana Lowasa kipindi cha uchaguzi, leo chadema wanamwita jembe na kumchangia, unategemea nini? Nape na goli lake la mkono leo anaitwa kamanda. Sumae anayeitukana chadema video zipo, leo ni mshauri.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom