Swali chokonozi kuhusu faida za kuwa Waziri

Terrible Teen

JF-Expert Member
May 1, 2017
920
2,635
Katiba yetu ya JMT inafafanua kuwa kutakuwa na Baraza la Mawaziri ambapo Wajumbe wake watateuliwa kutoka miongoni mwa Wabunge. Stahiki za msingi za Mawaziri kwa uelewa wangu hazitofautiani sana na za wabunge. Tofauti yao kubwa ni vitu ambapo waziri anapewa gari, msaidizi, posho ya ziara jimboni na pia waziri ana faida ya kupata fedha toka kwenye taasisi zilizo chini ya wizara yake.

Hoja hapa na swali je ni faida zipi waziri anapata hadi kukubali kutukanwa PUMBAVU na ukavumilia tu wakati wewe ni mtu mzima, msomi, baba, babu na una heshima zako kwa familia, jumuia, kanisa, msikiti n.k.
 
Uzalendo na dhana ya kulitumikia taifa, yaani ugombane na rais au ukatae kuwa waziri eti kwa sabb kakuita pumbav? ukiwa waziri unajua bosi wako ni nani?
 
Back
Top Bottom