SWALI CHOKONOZI: Kama katiba ikisema mbunge lazima awe na degree chadema ingebaki na wabunge wangapi

MTENDAHAKI

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
4,013
1,443
Huwa muda mwingine nikiwasikiliza wafuasi wa Chadema namna wanavyoponda kwamba wabunge wa CCM wana kiwango cha chini cha elimu na kuwa sifa ya kujua kusoma na kuandika haitoshi kumfanya mtu kuwa kiongozi wa umma! Najiuliza vipi kama leo katiba ikitamka kwamba mbunge sharti awe na degree/shahada chadema ingebaki na wabunge wangapi, na ccm wangebaki wangapi?
 
Mmmmm tuanze na wabunge wa ccm....KKK daaaa aibuuu hao KKK watajadili mikataba ya makinikia kweli? Kina Sanga.....wa Mtera.....Maji Marefu.....Lukuvi?? Mhagama J......Msukuma.......Zungu......Daaa achenii nyieeeee
 
jibu walishalitoa jamaa wa TWAWEZA jana kwamba wafuasi wa ccm wakoje na wafuasi wa chadema wakoje. Katafute ripoti yao Alafu + utapata =
Unaongelea hili hapa
upload_2017-6-15_19-12-59-png.524617
 
Huwa muda mwingine nikiwasikiliza wafuasi wa Chadema namna wanavyoponda kwamba wabunge wa CCM wana kiwango cha chini cha elimu na kuwa sifa ya kujua kusoma na kuandika haitoshi kumfanya mtu kuwa kiongozi wa umma! Najiuliza vipi kama leo katiba ikitamka kwamba mbunge sharti awe na degree/shahada chadema ingebaki na wabunge wangapi, na ccm wangebaki wangapi?

Badala ya kuuliza ungetafuta hiyo data na kutuhabarisha hapa, na uzingatie uwiano pia. Ila ubunge na uongozi wa umma kuna tofauti. Yawezekana pia wenye degree wangejiunga na vyama vya siasa na kuwa wabunge ila sasa ni ngumu kuhisi ni chama kipi kingekuwa na wengi.
 
Nimetoa mifano hapo juu ya manguli wa chadema
 
Huwa muda mwingine nikiwasikiliza wafuasi wa Chadema namna wanavyoponda kwamba wabunge wa CCM wana kiwango cha chini cha elimu na kuwa sifa ya kujua kusoma na kuandika haitoshi kumfanya mtu kuwa kiongozi wa umma! Najiuliza vipi kama leo katiba ikitamka kwamba mbunge sharti awe na degree/shahada chadema ingebaki na wabunge wangapi, na ccm wangebaki wangapi?
Hembu dadavua! Degree ya O au ya K?
 
lumumba wengi elimu ya hapa na pale na std 7
Mkwawa aligombania uhuru bila kusoma na kuandika, leo wanaojiita wasomi wa chadema kila siku wako ujerumani wakiwaomba wawasaidie kuchukua nchi ili turudi utumwani
 
akili yako fupi sana
juzi mlikuwa mnashangilia ripoti ya mchanga as if chadema ndio uliosaini huo mkataba mchafu
 
Back
Top Bottom