Swali chokonozi: Je Rais wetu alikuwa ameshampongeza mshindi wa Urais wa Gambia? why?

Nibozali

JF-Expert Member
Oct 15, 2016
572
1,055
Ni desturi ya muda mrefu unapofanyika uchaguzi na mshindi anapopatikana kupongezwa na wadau mbalimbali wakiwemo marais kama kama ni uchaguzi Wa marais. Tumeshudia hivyo hata kwa Raid mteule Wa Marekani Donard Trump.

Lakini kuaa kitu najiuliza, hivi Katika uchaguzi uliopita nchini Gambia no Mgombea Wa chama pinzani kuibuka mshindi, je Rais wetu alimtumia salami za pongezi kwa ushindi? Kwa nini?
Hilo ndio swali langu, wenye majibu tafadhari!
 
Kweli hili ni swali chokonozi, ila ungeongezea pia juu ya uyu wa Ghana kama naye keshampongeza.

Otherwise tumshauri afanye faster kabla hajapigiwa simu ya ushauri toka kwa bwana mkubwa Jecha wa uko zanziberi kama alivofanya kwa raisi Jahme
 
Ni desturi ya muda mrefu unapofanyika uchaguzi na mshindi anapopatikana kupongezwa na wadau mbalimbali wakiwemo marais kama kama ni uchaguzi Wa marais. Tumeshudia hivyo hata kwa Raid mteule Wa Marekani Donard Trump.

Lakini kuaa kitu najiuliza, hivi Katika uchaguzi uliopita nchini Gambia no Mgombea Wa chama pinzani kuibuka mshindi, je Rais wetu alimtumia salami za pongezi kwa ushindi? Kwa nini?
Hilo ndio swali langu, wenye majibu tafadhari!
Wewe unataka tupate aibu nyingine hivi atampongeza kwa lugha ipi au kwa ile ngeli iliyokosa grammar
 
kwamza raisi mwenyewe kaghairi kuachia madaraka!kasema uchaguzi urudiwe na ataunda tume mpya ya uchaguzi....chanzo bbc
 
Inamna alishndwa kutuma vjana wake wajekuchukua mbinu za uchaguz Tz wajue jnc gan chama tawala knavyoshnda urais kwenye uchaguz Tz
 
Hakuna mchawi anayependa Amani.... Hongera Marais waliopongeza ushindi Gambia
 
Ni desturi ya muda mrefu unapofanyika uchaguzi na mshindi anapopatikana kupongezwa na wadau mbalimbali wakiwemo marais kama kama ni uchaguzi Wa marais. Tumeshudia hivyo hata kwa Raid mteule Wa Marekani Donard Trump.

Lakini kuaa kitu najiuliza, hivi Katika uchaguzi uliopita nchini Gambia no Mgombea Wa chama pinzani kuibuka mshindi, je Rais wetu alimtumia salami za pongezi kwa ushindi? Kwa nini?
Hilo ndio swali langu, wenye majibu tafadhari!
Ndugu, ni vizuri KUFIKIRI wakati unafikiri na kuandika. Uhariri wa andiko ni MUHIMU. Haraka haraka hainaga baraka...
 
Humu utaishia kucheka tu.... Mtu kwa akili yako kupongeza ushindi Wa uraisi Wa Africa inabidi umkane Muumba wako kwa muda fulani... Maana chaguzi huwa zinasimamiwa na mashetani
 
Back
Top Bottom