Kimagege
JF-Expert Member
- Oct 28, 2010
- 283
- 88
Ni wazi kuwa hakuna jinsi nyingine isipokuwa kwenda kwenye uchaguzi mdogo ili wanachi wa sumbawanga mjini waweze kupata mwakilisshi bungeni kwa kipindi kilichobaki kabnla ya 2015.ni wazi zaidi kuwa hakuna nanma nyingine yeyote ya kisheria ya kuahirisha suala hili kwa muda achilia mbali kulichelewesha kulikoshindikana kutokana na rufaa ya aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya ccm kutupwa.
Ipo wazi sasa kuwa chadema wanaye mgombea kea ajili ya nafasi hiyo na si mwingine bali ni mgombea aliyeshindwa kwa kile alichokiita na kuthibitishwa na mahakama kuwa mizengwe ya ccm.bwana huyu tayari amekuwa akifanya mikutano ya hadhara akiambatna na ndugu john heche.siamini kama hili linafnayika kwa bahati mbaya.chadema ina wanachama wengi sumbawanga,ingewezekana pi kufanya mikutano na wanachama wengine na ikafanikiwa lakini kitendo cha heche kuzunguka na huyo bwana ni ishara tosha kuwa cdm wameanza kupiga jaramba kiaina.
Ni muda muafaka nadhani wa kufahamu nani hasa ccm wataweza kumsimamisha katika kipute hicho.ni nafasi kwa wanajamvi wanafahamu chochote kuhusu mipango ya ccm kuiweka hadharani.kadhalika nape kwa kuwa na wewe ni mwanajamvi mwenzetu ukiweza tupe highlights za mipango yenu huko sumbawanga.siasa sio siri kwani kila mipango huletwa hadharani ikasikiwa na wiote,wanaohusika na wasiohusika.