Swali; CCM watamsimamisha nani ubunge Sumbawanga mjini?

Kimagege

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
283
88
Ni wazi kuwa hakuna jinsi nyingine isipokuwa kwenda kwenye uchaguzi mdogo ili wanachi wa sumbawanga mjini waweze kupata mwakilisshi bungeni kwa kipindi kilichobaki kabnla ya 2015.ni wazi zaidi kuwa hakuna nanma nyingine yeyote ya kisheria ya kuahirisha suala hili kwa muda achilia mbali kulichelewesha kulikoshindikana kutokana na rufaa ya aliyekuwa mbunge kwa tiketi ya ccm kutupwa.
Ipo wazi sasa kuwa chadema wanaye mgombea kea ajili ya nafasi hiyo na si mwingine bali ni mgombea aliyeshindwa kwa kile alichokiita na kuthibitishwa na mahakama kuwa mizengwe ya ccm.bwana huyu tayari amekuwa akifanya mikutano ya hadhara akiambatna na ndugu john heche.siamini kama hili linafnayika kwa bahati mbaya.chadema ina wanachama wengi sumbawanga,ingewezekana pi kufanya mikutano na wanachama wengine na ikafanikiwa lakini kitendo cha heche kuzunguka na huyo bwana ni ishara tosha kuwa cdm wameanza kupiga jaramba kiaina.
Ni muda muafaka nadhani wa kufahamu nani hasa ccm wataweza kumsimamisha katika kipute hicho.ni nafasi kwa wanajamvi wanafahamu chochote kuhusu mipango ya ccm kuiweka hadharani.kadhalika nape kwa kuwa na wewe ni mwanajamvi mwenzetu ukiweza tupe highlights za mipango yenu huko sumbawanga.siasa sio siri kwani kila mipango huletwa hadharani ikasikiwa na wiote,wanaohusika na wasiohusika.
 
Kimagege Igunga nako vipi?
 
Last edited by a moderator:
Subiri tamko CCM ina watu kibao tena wenye sifa kibao, na naomba nikutahadhalishe Sumbawanga haina wapinzani wengi kama unavyodhani, hata hao walioipa cdm ni wana ccm walipata hasira kidogo tu lakini sasa hivi wengi wameelewa na wamerejea, ccm usipime bwana itashinda tena kwa kishindo.
 
Yaani maoni uliyoyatoa ni kama CCM ina hati miliki ya watu wa sumbawanga,hii ni dharau ya hali ya juu kwa watu ambao wamepewa utashi mzuri wa kufiri na muumba wao!Time will tell us the truth!
 
Subiri tamko CCM ina watu kibao tena wenye sifa kibao, na naomba nikutahadhalishe Sumbawanga haina wapinzani wengi kama unavyodhani, hata hao walioipa cdm ni wana ccm walipata hasira kidogo tu lakini sasa hivi wengi wameelewa na wamerejea, ccm usipime bwana itashinda tena kwa kishindo.

Kwa rushwa hapana shaka watashinda.
 
tunaomba tujue na Igunga ili tukachukue na mwalimu wetu wa ukweli Kashindye ...ccm byebye!
 
Jamani waache mizengwe wamwache former Headmaster wangu Jimbo lake ni mtu anaye jua kuongoza watu wenye utashi na wasio na utusha
 
Subiri tamko CCM ina watu kibao tena wenye sifa kibao, na naomba nikutahadhalishe Sumbawanga haina wapinzani wengi kama unavyodhani, hata hao walioipa cdm ni wana ccm walipata hasira kidogo tu lakini sasa hivi wengi wameelewa na wamerejea, ccm usipime bwana itashinda tena kwa kishindo.

CCM imejaa mapoyoyo, unayajua matokeo ya 2010 hata baada ya kuchakachua?
 
Hawa magamba hawaeleweki,wanaweza hata kumuangukia mzee Paul KImiti aje agombee maana hawa kwa kuwaangukia vikongwe huwawezi!!
 
Nadhani moja ya majimbo kwa sasa ambayo siyo magumu sana kwa CCM ni jimbo la sumbawanga..hakuna nzuri unaloweza kulipata kwa urahisi na hasa linapokuwa linatafutwa na wengi au na mtu aliyekutangulia kulifahamu..CCM Oyee.
 
Subiri tamko CCM ina watu kibao tena wenye sifa kibao, na naomba nikutahadhalishe Sumbawanga haina wapinzani wengi kama unavyodhani, hata hao walioipa cdm ni wana ccm walipata hasira kidogo tu lakini sasa hivi wengi wameelewa na wamerejea, ccm usipime bwana itashinda tena kwa kishindo.

Tulikwenda Igunga bila hata mwanachama mmoja tukatoa ushindani mkuu kwa chama cha mapinduzi...itakuwa Sumbawanga ambapo tuna wanachama japo wewe unawaita wachache? ukweli ni kwamba tutashinda tena kwa kishindo.
 
Igunga ccm hatutak tena tunasubili uchaguz tena kuwaadhibu mafisadi hawa.
 
Mwamashiga, Igunga, CHADEMA Ooooyee! big up to all chadema supporters,and small down ccm members.Amen
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom