Swali: baada ya kusafiri umbali mrefu, ni muda gani yapasa upite gari ndo izimwe.?

Sure- Kwenye hili kila mtu anapaswa kufata anachoamini.Binafsi the theory behind kuacha gari for 10 minutes naiamini completely.Lengo la kuacha gari kwa muda ni kufanya components za engine kuweza kurudia umbo lake la awali bila kuathirika,and according to Engineer KYANDO (NIT)-Upoozaji huu huusisha njia tofauti tofauti ikiwemo exhaust system.
Mkuu upo sahihi kabisa hiyo ntaendelea kuamini hivyo maana ni dk kadhaa tuu na sipotezi kitu hapo...
 
Kwa ujumla, kugeuka mbali naturaly aspirated (Non-Turbo injini moja kwa moja kamwe sababu tatizo lolote na unaweza kufanya hivyo hata kama wewe kuendesha gari kwa umbali mrefu na kwa zaidi ya saa 5.

Lakini kwa turbocharged injini wewe ni zaidi uwezekano wa kuharibu turbocharger hivyo u ar adviced basi ni baridi chini kwa muda wa dakika atleast 3 hadi 5 au u unaweza kutatua tatizo hilo kwa buyin na kufunga chombo kinachoitwa TURBO tIMER ambayo msaada Wil kuweka injini runing na turbocharger spining hata baada u kubadili ya injini til sehemu ya bomba kabisa baridi chini kwa nini?

Cars ni iliyoundwa kulingana na viwango vya juu vya uvumilivu kwa hali zote hali ya hewa. Cars ni majaribio katika hali tofauti ya hali ya hewa kama vile hali ya Ghuba ya Arabuni hali ya hewa na joto yake ya juu na pia katika . baridi ya hali ya hewa hiyo injini kuzaa joto ya juu na unapaswa daima baridi injini kabla ya kugeuka kuwa mbali kama kuna tatizo katika injini Unaweza kujua. joto ya injini na wake sehemu wakati deriving kwa umbali mrefu juu ya barabara ni chini ya kuendesha gari katika mitaa inaishi.

Kwa nini? Kuendesha gari juu ya msongamano barabarani husababisha kuongeza joto ya injini. Kwa upande mwingine, kuna njia nyingi za baridi injini wakati wa kuendesha gari juu ya barabara hata kama kwa umbali mrefu. gari mashabiki na 120 speed upepo baridi chini injini na gari zima pia.

Mambo ya google translator.

Sent using Jamii Forums mobile app
Shkamoo Google translator...

Khaaaa!
 
Sure- Kwenye hili kila mtu anapaswa kufata anachoamini.Binafsi the theory behind kuacha gari for 10 minutes naiamini completely.Lengo la kuacha gari kwa muda ni kufanya components za engine kuweza kurudia umbo lake la awali bila kuathirika,and according to Engineer KYANDO (NIT)-Upoozaji huu huusisha njia tofauti tofauti ikiwemo exhaust system.
Mkuu unachoamini hata kama umeambiwa na mtaalamu wa Nit sio sahihi.
Under normal conditions hakuna part yoyote inayobadilika shape kutokana na joto la engine ., La sivyo tungepata blow by na extreme oil consumption when engine is hot ..engine parts zinatengenezwa na torelance kubwa sana ya joto .
 
Idea ya kuacha idle gari baada ya safari ni applicable kwa turbocharged engine tu. Japo kuna conditions zake
Turbo inapata lubrication kutoka engine oil, inapofanya kazi kubwa parts za turbo huwa zinapata joto Kali huku zikiwa katika mizunguzko mikali , unapozima gari katika hali hii ni kwamba. Unainyima turbo supply ya oil wakati ikiwa ya moto na mizunguzko mikali, kitakachotokea ni (Coking), kwamba oil chache iliyobakia kwenye turbo bearing itaunguzwa na turbo shaft ambayo inazunguka kuwa spidi huku ikiwa ya moto . , kiufupi huwa inaanza turbo kufa halafu inafata chain reaction flan amazing amabayo huja kuuwa engne pia.

Unaweza pia usiache idle gari hata kama umetoka kufanya kazi ngumu au safari ndefu,na usifanye uharibifu , Anticipation driving!! , Kama unaijua destination yako vizuri then km 5 kabla ya kumaliza safari endesha gentle Ili uruhusu turbo kupoa mizunguzko ,technically usiposikia muluzi wa turbo (turbo whistle ) basii jua turbo ipo katika mizunguzko michache .katika hali hii unaweza kufika na kuzima gari
 
Hata kuwe na baridi kiasi gani,gari itakuwa na operating temperature ile ile kwahio hamna athari yoyote kwenye mfumo wa engine. Na ndio maana kwenye maelezo ya gari kuhusu consumption ya mafuta wanakupa ya mjini na kwenye highway hawakupi ya kwenye baridi na kwenye joto.
Yes hata kuwe na baridi kiasi gani. Lakini kama thermostat imechomolewa gari haitakaa ifikie "engine operating temperature" kwa hiyo itabugia mafuta sana.
 
Iache gari silence kwa dakika 10-15. Hakuna unachopoteza isipokua muda na mafuta.
 
Hata kuwe na baridi kiasi gani,gari itakuwa na operating temperature ile ile kwahio hamna athari yoyote kwenye mfumo wa engine. Na ndio maana kwenye maelezo ya gari kuhusu consumption ya mafuta wanakupa ya mjini na kwenye highway hawakupi ya kwenye baridi na kwenye joto.
Salute mdau
 
Kwa engine natural aspirated Hakuna unacho gain pia
Unapoteza tu mafuta na pesa yako , in fact excessive idling pia ni hatari kwa afya ya engine.
Mkuu huwa nasikiliza sana ushauri wako ila kwenye hili wacha nipoteze tuu mafuta yaani nitoke umbali mrefu nifike nizime tuu gari labda hizi za kisasa sio zile zetu za new model ingawaje ni ya toleo la nyuma..bima, Hyundai, Audi ,Toyota hata Benz ya miaka ya karibuni ntazima tuu Ila sio zile za kitambo ukizima safari inaweza kuishia hapo hapo bora liwake tuu uendelee na saafari yako ndefu
 
Wengine wanasema ukiiacha gari idle kwa muda kidogo baada ya safari inasaidia oil kushuka...hili sijui limekaaje

Katika kuiwasha ndio logic ya oil inatumika maana ukiwasha gari unaiacha iungurume kwa dakika kadhaa ili oil iende sehemu zote lakini kwenye kuzima unazima tu maana itarudi katika sehemu yake yenyewe ukiiacha idle bado oil itakuwa kwenye system nyingine maana engine bado ipo ON.
 
huu uzi umenipa elimu sana, inanipasa kuamini kua kuna vitu vingi sana kuhusu magari mtaani tunaamini tunavijua kumbe tunachemka, thank to JF
 
Idea ya kuacha idle gari baada ya safari ni applicable kwa turbocharged engine tu. Japo kuna conditions zake
Turbo inapata lubrication kutoka engine oil, inapofanya kazi kubwa parts za turbo huwa zinapata joto Kali huku zikiwa katika mizunguzko mikali , unapozima gari katika hali hii ni kwamba. Unainyima turbo supply ya oil wakati ikiwa ya moto na mizunguzko mikali, kitakachotokea ni (Coking), kwamba oil chache iliyobakia kwenye turbo bearing itaunguzwa na turbo shaft ambayo inazunguka kuwa spidi huku ikiwa ya moto . , kiufupi huwa inaanza turbo kufa halafu inafata chain reaction flan amazing amabayo huja kuuwa engne pia.

Unaweza pia usiache idle gari hata kama umetoka kufanya kazi ngumu au safari ndefu,na usifanye uharibifu , Anticipation driving!! , Kama unaijua destination yako vizuri then km 5 kabla ya kumaliza safari endesha gentle Ili uruhusu turbo kupoa mizunguzko ,technically usiposikia muluzi wa turbo (turbo whistle ) basii jua turbo ipo katika mizunguzko michache .katika hali hii unaweza kufika na kuzima gari
Umeongea kitaalamu kabisa.

Hasa hiyo km 5 kabla ya destination.
 
Umeongea kitaalamu kabisa.

Hasa hiyo km 5 kabla ya destination.
Anticipation driving , kwenye gari za kisasa unapata hata scores the way you drive .
Mtu unaona kabisa taa au round about ipo mbele yake lakini bado anakomaa na acc Ili afinge breki akiwa pale ,
Dereva mzuri anaachia kukanyaga moto na gari linaserereka hadi linafika kwenye taa au round about na kusimamia au atatumia breki kidogo sana .
 
Mara nyingi kama destination ni kwenye mji lazima utapokelewa na vifoleni vya hapa na pale au mataa kabisa.

Mpaka unafika nyumbani kwako gari inakuwa imeshapoa vya kutosha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom