SWALI: Ati DC wa Butiama anaishi wapi, nasikia Kiabakari tena kwenye nyumba ya KM wa Wizara yake

kkarumekenge

JF-Expert Member
Aug 14, 2013
1,708
1,026
Juzi nikiwa Dodoma jamaa alimwaga umbeya. Alidai DC wa wilaya ya Butiama anaishi Kiabakari na amepanga kwenye nyumba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya DC huyo. Hivi kweli huyo DC atajengewa nyumba huko Butiama huku amepanga kwenye nyumba ya huyo ambaye ndiye angeagiza ujenzi ufanyike. Kweli inawezekana, Katibu Mkuu huyo aache pesa ya pango anayojilipa aruhusu ujenzi wa nyumba ya DC? Kama kuna kitu kimeadimika sana Tanzania, ni maadili ya uongozi.
 
juzi nikiwa dodoma jamaa alimwaga umbeya. Alidai dc wa wilaya ya butiama anaishi kiabakari na amepanga kwenye nyumba ya katibu mkuu wa wizara ya dc huyo. Hivi kweli huyo dc atajengewa nyumba huko butiama huku amepanga kwenye nyumba ya huyo ambaye ndiye angeagiza ujenzi ufanyike. Kweli inawezekana, katibu mkuu huyo aache pesa ya pango anayojilipa aruhusu ujenzi wa nyumba ya dc? Kama kuna kitu kimeadimika sana tanzania, ni maadili ya uongozi.

picha? Source? Shabaash!!!!!
 
Ni kweli anaishi kyabakari. Yote uliyosema ni kweli mtupu,amepanga na pana umbali kutoka kwake hd ofisin butiama. Km dakika 45 hv.
 
Juzi nikiwa Dodoma jamaa alimwaga umbeya. Alidai DC wa wilaya ya Butiama anaishi Kiabakari na amepanga kwenye nyumba ya Katibu Mkuu wa Wizara ya DC huyo. Hivi kweli huyo DC atajengewa nyumba huko Butiama huku amepanga kwenye nyumba ya huyo ambaye ndiye angeagiza ujenzi ufanyike. Kweli inawezekana, Katibu Mkuu huyo aache pesa ya pango anayojilipa aruhusu ujenzi wa nyumba ya DC? Kama kuna kitu kimeadimika sana Tanzania, ni maadili ya uongozi.

Naomba ufafanuzi hapa!
 
Huyo namjua Ni katibu mkuu ofisi ya waziri mkuu, anaitwa Jumanne Sagini, huyu bwana ana ni kweli ana nyumba yake hapa Butiama, na kampangisha DC (Mkuu wa wilaya) ya Butiama, sasa, hivi ni lini huyo katibu mkuu ataweza kupendekeza au kuidhinisha, au kuruhusu nyumba ya serikali ajengewe Mkuu wa wilaya hapa Butiama wakati yeye mwenyewe (Katibu Mkuu) anafaidika na Kodi ya kila mwaka ya kumpangisha mtumishi wa serikali kwenye nyumba yake?
 
Ni kweli anaishi kyabakari. Yote uliyosema ni kweli mtupu,amepanga na pana umbali kutoka kwake hd ofisin butiama. Km dakika 45 hv.

Nafikiri kwa sababu walikuwa wanataka makao makuu ya wilaya iwe kiabakari
sikumbuki wameamua vp kuhusu makao makuu ya wilaya eidha yawe kiabakar au Butiama
 
Back
Top Bottom