Swali ambalo sijawaji kupata jibu lake

Jf members, salam.

Ninaswali ambalo limekuwa likinisumbua kupata jibu lake kwa muda mrefu sasa, hivyo nimeona vema niliwasilishe hapa yamkini nitapa majibu kabla mwaka 2018 haujaanza.

kaswali kenyewe ni haka hapa

Namfahamu Katibu Mkuu wa ccm, na Mwenyekiti wake.

Na kwa uzoefu wangu mdogo nikwamba kila panapo Katibu Mkuu, basi kuna Mwenyekiti.

SWALI LA MSINGI

Namfahamu Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa,

Hivi Mwenyekiti wa Umoja wa mataifa ni nani?

nawasilisha.

(am serious, msinicheke kwakutokujuwa kwangu mambo haya)
Mbona wizara zote zina katibu mkuu ila hazina mwenyekiti.
 
Back
Top Bottom