Swali ambalo ni ngumu kupata jibu sahihi kwa wapenzi: Idadi ya wapenzi waliowahi kuwa nao

Koloboy

Member
Aug 13, 2017
61
154
Kama kuna maisha ambayo yamejaa aina nyingi ya maswali basi naweza kusema kuwa maisha ya mahusiano ya kimapenzi ndio huwa na maswali lukuki.

Maswali haya mara nyingi hutokea sana pindi mapenzi mapya yanapoanzishwa ili mtu ajihakikishie kuwa aliye naye ni mtu sahihi ama sio sahihi.

Miongoni mwa maswali ambayo wapenzi wapya hupenda kuulizana ni pamoja na shughuli anayojishulisha na mpenzi wake, levo za familia, na vingine vingi.

Lakini miongoni mwa maswali ambayo naweza kusema ni common sana na huwa yanapendwa kuulizwa na wapenzi wengi basi ni hili hapa >>>♡♡hivi baby mimi ni mwanamke/ mwanaume wako wa ngapi?<<<♡♡

Hili swali hutokaa uweze kuapata jibu/jawabu la ukweli kwa mpenzi wako hata siku moja mana kama ni msichana akiulizwa swali hili basi anaweza kujibu kuwa yeye ni wa pili ukiachana na yule aliyemtoa bikira au kama alishawahi kuolewa na kuachika basi ataweka hesabu ya yule aliyenaye kuwa wa tatu ukiachana na mumewe aliyeachana naye na aliyemtoa bikira.

Lakini kwa mvulana hili swali pia huwa na jibu tofauti pia kama sio yule msichana aliyenaye kuwa wa pili baada ya kuachana/ kuachwa na mpenzi wake basi anaweza kuwa wa tatu vile vile.

Swali shirikishi: kwanini hili swali halina jibu la ukweli kwa wapenzi na wakati huwa linapendwa sana kuulizwa na kwanini watu huwa hawasemi ukweli juu ya idadi ya wapenzi waliyowahi kudate nao?

Naomba kuwasilisha
 
Mimi naona hakuna maana ya kufukua makaburi na mapito yaliyopita sababu nyongo itatibuka bure na mapenzi yakafa maana sisi wahehe akili zetu
 
Ukiona unauliza swali hili basi jua ndio unabalehe/kuvunja ungo akili yako haijapevuka vizuri.
 
KWANZA MIMI HILO SWALI NILISHAACHA KUULIZA TANGU NIPATE AKILI ZANGU ZA UTU UZIMA, KWA 7BU WENG HUDANGANYA. HAKUNA MDADA ATAKAYESEMA AMETEMBEA NA WANAUME 10
WENG HUSEMA
1. NILIKUWA NA MMOJA TU NKAFANYA NAYE MARA 1 NIKAHS MAUMIVU SKUTAKA TENA, CHA AJABU UKIJA KUMLALA NI FUNDI
2. NIMETEMBEA NA WAWILI TU, MMOJA NILISX NAYE, MWNGNE SJAWAHI.
3. SJAWAH KUWA NA MPZ WE NDO WA KWANZA.
4. NILIWAH KUWA NA M1 ILA SKUSEX NAYE

MIMI NIMETEMBEA NA WANAWAKE 301, HV NAANZAJE LABDA? TENA UKIMWAMBIA HVYO MWANAMKE ATAONA NAMZNGUa
 
Kama kuna maisha ambayo yamejaa aina nyingi ya maswali basi naweza kusema kuwa maisha ya mahusiano ya kimapenzi ndio huwa na maswali lukuki.

Maswali haya mara nyingi hutokea sana pindi mapenzi mapya yanapoanzishwa ili mtu ajihakikishie kuwa aliye naye ni mtu sahihi ama sio sahihi.

Miongoni mwa maswali ambayo wapenzi wapya hupenda kuulizana ni pamoja na shughuli anayojishulisha na mpenzi wake, levo za familia, na vingine vingi.

Lakini miongoni mwa maswali ambayo naweza kusema ni common sana na huwa yanapendwa kuulizwa na wapenzi wengi basi ni hili hapa >>>♡♡hivi baby mimi ni mwanamke/ mwanaume wako wa ngapi?<<<♡♡

Hili swali hutokaa uweze kuapata jibu/jawabu la ukweli kwa mpenzi wako hata siku moja mana kama ni msichana akiulizwa swali hili basi anaweza kujibu kuwa yeye ni wa pili ukiachana na yule aliyemtoa bikira au kama alishawahi kuolewa na kuachika basi ataweka hesabu ya yule aliyenaye kuwa wa tatu ukiachana na mumewe aliyeachana naye na aliyemtoa bikira.

Lakini kwa mvulana hili swali pia huwa na jibu tofauti pia kama sio yule msichana aliyenaye kuwa wa pili baada ya kuachana/ kuachwa na mpenzi wake basi anaweza kuwa wa tatu vile vile.

Swali shirikishi: kwanini hili swali halina jibu la ukweli kwa wapenzi na wakati huwa linapendwa sana kuulizwa na kwanini watu huwa hawasemi ukweli juu ya idadi ya wapenzi waliyowahi kudate nao?

Naomba kuwasilisha
Hahaha unategemea na mapenz gn active or passive
 
Back
Top Bottom