Koloboy
Member
- Aug 13, 2017
- 61
- 154
Kama kuna maisha ambayo yamejaa aina nyingi ya maswali basi naweza kusema kuwa maisha ya mahusiano ya kimapenzi ndio huwa na maswali lukuki.
Maswali haya mara nyingi hutokea sana pindi mapenzi mapya yanapoanzishwa ili mtu ajihakikishie kuwa aliye naye ni mtu sahihi ama sio sahihi.
Miongoni mwa maswali ambayo wapenzi wapya hupenda kuulizana ni pamoja na shughuli anayojishulisha na mpenzi wake, levo za familia, na vingine vingi.
Lakini miongoni mwa maswali ambayo naweza kusema ni common sana na huwa yanapendwa kuulizwa na wapenzi wengi basi ni hili hapa >>>♡♡hivi baby mimi ni mwanamke/ mwanaume wako wa ngapi?<<<♡♡
Hili swali hutokaa uweze kuapata jibu/jawabu la ukweli kwa mpenzi wako hata siku moja mana kama ni msichana akiulizwa swali hili basi anaweza kujibu kuwa yeye ni wa pili ukiachana na yule aliyemtoa bikira au kama alishawahi kuolewa na kuachika basi ataweka hesabu ya yule aliyenaye kuwa wa tatu ukiachana na mumewe aliyeachana naye na aliyemtoa bikira.
Lakini kwa mvulana hili swali pia huwa na jibu tofauti pia kama sio yule msichana aliyenaye kuwa wa pili baada ya kuachana/ kuachwa na mpenzi wake basi anaweza kuwa wa tatu vile vile.
Swali shirikishi: kwanini hili swali halina jibu la ukweli kwa wapenzi na wakati huwa linapendwa sana kuulizwa na kwanini watu huwa hawasemi ukweli juu ya idadi ya wapenzi waliyowahi kudate nao?
Naomba kuwasilisha