Swali ambalo kila mtu mwenye akili timamu anapaswa kujiuliza kuhusu Lissu na kupona kwake

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
47,013
144,371
Swali ni hili au linalofanaa na hili:

"Hivi mh.Lissu kapona katika hatari kama hii ili aendelee tu kuishi kama ambavyo mimi na wewe tunaishi leo hii au kuna kazi ambayo bado hajaikamilisha na anatakiwa aikamilishe na kwa uwezo Mungu imepangwa kukamilika katika muda, siku na saa tusioijua mimi na wewe?"

Labda jiulize na swali hili la nyongeza lakini ambalo hapa linaweza kuwa relevant:

Hivi Mfalme Herode alietaka kumuua Yesu alifanikiwa na Yesu hakutimiza kazi Mungu aliomtuma?

Kaa sana na utafakari maswali haya na zaidi omba Mungu akujalie uzima ili uje kuwa shuhuda wa maono haya wakati ukifika.
 
Swali ni hili au linalofanaa na hili:

"Hivi mh.Lissu kapona katika hatari kama hii ili aendelee tu kuishi kama ambavyo mimi na wewe tunaishi leo hii au kuna kazi ambayo bado hajaikamilisha na anatakiwa aikamilishe na kwa uwezo Mungu imepangwa kukamilika katika muda, siku na saa tusioijua mimi na wewe?"

Labda jiulize na swali hili la nyongeza lakini ambalo hapa linaweza kuwa relevant:

Hivi Mfalme Herode alietaka kumuua Yesu alifanikiwa na Yesu hakutimiza kazi Mungu aliomtuma?

Kaa sana na utafakari maswali haya na zaidi omba Mungu akujalie uzima ili ujue kuwa shuhuda wa maono haya wakati ukifika.
Mungu hakutaka afe ili aje ashuudie nchi ikijengwa kwa kasi ili ajutie usaliti wake
 
Herode alikufa na kumpisha Yesu kutimiza mpango wake wa ukombozi
 
Swali ni hili au linalofanaa na hili:

"Hivi mh.Lissu kapona katika hatari kama hii ili aendelee tu kuishi kama ambavyo mimi na wewe tunaishi leo hii au kuna kazi ambayo bado hajaikamilisha na anatakiwa aikamilishe na kwa uwezo Mungu imepangwa kukamilika katika muda, siku na saa tusioijua mimi na wewe?"

Labda jiulize na swali hili la nyongeza lakini ambalo hapa linaweza kuwa relevant:

Hivi Mfalme Herode alietaka kumuua Yesu alifanikiwa na Yesu hakutimiza kazi Mungu aliomtuma?

Kaa sana na utafakari maswali haya na zaidi omba Mungu akujalie uzima ili ujue kuwa shuhuda wa maono haya wakati ukifika.
Kijana acha uchochezi mwache Lissu apumzike, na majukumu yake akabidhiwe Lowassa!!
 
Mungu hakutaka afe ili aje ashuudie nchi ikijengwa kwa kasi ili ajutie usaliti wake
Kinyume chake, Mungu hakutaka afe ili aishi muda wa kutosha kuona waliotaka kumuua wakipukutika na nchi ikipata viongozi wenye dhamira ya dhati ya kulitumikia taifa. Itoshe tu kusema kuwa bado MUNGU amhitaji TAML kutimiza kusudi maalum kwa ajili yake mwenyewe na watanzania kwa ujumla!
 
Mungu hakutaka afe ili aje ashuudie nchi ikijengwa kwa kasi ili ajutie usaliti wake
Kamsaliti nani?

By the way Lissu has missed the train, maana in his absence tumepata some more viwonder to bring the number to 3,306. Akirudi na yeye tutampatia ajira kwenye kimojawapo aache kazi ya uchochezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom