swalah ya jamaa

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2018
Messages
280
Points
250

njia ya saada

JF-Expert Member
Joined Sep 3, 2018
280 250
Hadithi iliyopokewa na Abu Hurarah t kwamba Mtume ﷺ alisema: (Swala nzito zaidi kwa wanafiki ni Swala ya Isha na Swala ya Alfajiri. Na lau wao walijua Yaliyomo kwenye Swala mbili hizo, wangaliziendea japo kwa kujikokota [ Habwan: kujikokota kwa kitako.]. Na mimi nilidhamiria kutoa amri Swala kukimiwa, kisha nimuamrishe mtu awaswalishe watu, kisha nitoke na watu wakiwa na matita ya kuni niwaendee wale watu wasiohudhuria Swala niwachomee nyumba zao kwa moto) [ Imepokewa na Bukhari na Muslim.].
https://www.al-feqh.com/sw/swala-ya-jamaa
 

Forum statistics

Threads 1,389,914
Members 528,056
Posts 34,038,496
Top