swala si Lady Jd kupata mimba swala ni ya nani!!

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Nimeona watu wanashangaa kwenye sehemu za magazeti na internet kuhusu jd kuwa na mimba..
Labda msiojua mwanamke yoyote anaekuja dduniani lengo lake kubwa kabisa ni kuongeza duniani
eeh nasema hata huyo mwanai wa kike mdogo unaetunza jua unawatunzia watu waongeze uzao

Tukirudi swala la jd sidhan ni la kushngaza binafsi nilikuwa namwombea sana sana na hasa maadui zake waaibike hapa hapa duniani
akiwa kama mwanamke anastahili uzao na Mungu azidi kumbariki aongeze zaidi zaidi na zaid

Binfsi nilihisi ingekuwa wakati wa kuuliza mimba ya nani hilo ndio lakuongelea..kumekuwa na tatizo la wanandoa wengi kutunza watoto
sio wao na wengine mpaka wamekuwa chuo kikuu imebidi wakubali kama watoto wao..kwa miajili awezi kuvunja unyumba na mtoto ameshakua
so hilo la mimba sio tatizo ingawa na jua ana mume hata hao wanaotunza watoto kwenye ndoa wanakuwa na mume kama kawaida so nahisi
hili la mtoto wa nani ndio muhimu zaidi zaidi kujiuliza gadnerjr ama sema basi mbona unacheka
mchana mwema na lunch njema
 
akiamua kuzaa atazaa tu....kila mtu ana malengo na maamuzi yake...! she is so busy making moni. SHE IS A MILLIONAIRE ..!

-nice house
-nice cars
-nice husband
-nice pub (nyumbani lounge)
-nice songs
-and she keeps a very low profile...! with all these stuffs who needs mimba..??
 
Ya mumewe jamani Pdidy mbona unataka kumtafutia mwenzio balaa??? si ajabu Gadna alikuwa hana hata issue yoyote mbaya na ujauzito huo lakini kutokana na maneno ya watu kama yako ukamfanya aanze mchakato wa kujua kama kweli yeye ni baba mtoto au sio.
 
The problem wanaume ili waamini mimba na watoto ni wao wanataka wakioa leo kesho mke apate mimba!WAKE UP MEN ata iweje ka m2 wakuchakachua wl do dat no matter wat!so JUST LV JIDE AS SHE Z WTH HR HUSB
 
-and she keeps a very low profile...! with all these stuffs who needs mimba..??
She has personally admitted that she has been trying to get pregnant for quite a while now-10yrs.
word on the street is they have not been intimate with hubby for a while now due to his open zip policy and people who have nothing better to do READ Tanzanians say if the kid comes out chotara then the culprit is a rich muhindi flani who has been supporting her thru think and thin,if its a msahili child then the mwizi is a TZ footballer who plays in Scandinavia who even the hubby has been very jelous about.
Haya sio maoni ya UPOROTO bali stori za mtaani/mabaa/kumbi za starehe siku 2-3 hizi.
 
Mimba ni mipango ya mungu na vile vule hujui mtu na mumewe wamepanga nini inawezekana hawakua tayari kuzaa wakati huo walipo taka wazushi,au mwenyezi mungu haja mjalia sasa ukweli anaujua JD na mumewe,kama mimba ipo mwenyezi mungu amjalie awe mtoto wa kheir
awanuru na baraka ndani ya nyumba yao....
 
Nimeona watu wanashangaa kwenye sehemu za magazeti na internet kuhusu jd kuwa na mimba..
Labda msiojua mwanamke yoyote anaekuja dduniani lengo lake kubwa kabisa ni kuongeza duniani
eeh nasema hata huyo mwanai wa kike mdogo unaetunza jua unawatunzia watu waongeze uzao

Tukirudi swala la jd sidhan ni la kushngaza binafsi nilikuwa namwombea sana sana na hasa maadui zake waaibike hapa hapa duniani
akiwa kama mwanamke anastahili uzao na Mungu azidi kumbariki aongeze zaidi zaidi na zaid

Binfsi nilihisi ingekuwa wakati wa kuuliza mimba ya nani hilo ndio lakuongelea..kumekuwa na tatizo la wanandoa wengi kutunza watoto
sio wao na wengine mpaka wamekuwa chuo kikuu imebidi wakubali kama watoto wao..kwa miajili awezi kuvunja unyumba na mtoto ameshakua
so hilo la mimba sio tatizo ingawa na jua ana mume hata hao wanaotunza watoto kwenye ndoa wanakuwa na mume kama kawaida so nahisi
hili la mtoto wa nani ndio muhimu zaidi zaidi kujiuliza gadnerjr ama sema basi mbona unacheka
mchana mwema na lunch njema
 
Last edited by a moderator:

Hiyo mimba ni yangu
 
Back
Top Bottom