Ochumeraa
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 4,504
- 5,707
Tumewasikia na kuwaelewaMnazingua balaa, jirekebisheni na hizo flash disk zenu. Mnaboa sana!
Tumewasikia na kuwaelewaMnazingua balaa, jirekebisheni na hizo flash disk zenu. Mnaboa sana!
Kupasukiwa ndio niniKumbuka kuna wengne hwana Tv huwa nao wana enjoy kweny basi japo nao wajiskie ni wanadamu..ndo wale kitu hakichekeshi kaanza kujiandaa kupasukiwa amna mfano vile..
Habari wana JF,
Hili swala la kampuni za mabasi kuwa wanaweka nyimbo na movie hizo hizo tangu mwaka uanze linakera. Inapoteza maana ya kuwa moja ya burudani kwa wasafiri. Mfano mabasi ya Super feo na Selous yaneyoenda Lindi,Mtwara, Masasi,na Songea toka Dar magari yote nyimbo na movie ni zile zile tangu mwaka uanze....Inabore...nyimbo na movie za zamani na hazibadilishwi...
nljua mwenzangu unapandag mabombadiaBora watupigiage masongi.zikipigwa kwan'garu ya diamond na harmonize.mbona POA TU hata safari nzima replay za kutosha kuliko kutufia movies
Hii nimeiona kwenye mabasi mbalimbali mpaka sicheki tena nikiiangaliaBora Upendo walituwekea Gods must be crazy.
Hahaa we jamaaMi huwa napanda na flash ina action movies kama 4 na hiphop kadhaa..
Nikiona wanaonesha upuuzi namwita konda nampa aweke vitu vya maana
Superfeo wana movie yao nyingine yupo JB, Majuto na Shamsa. JB anataka kumuoa shamsa binti ya majuto. Nemeiangalia sijui mara ngapi? safari inakuwa ya kuchosha sana.
Hiyo God must be crazy asilimia kubwa ya magari wanayo. Ndio movie yao pendwaBora Upendo walituwekea Gods must be crazy.