brokeni
JF-Expert Member
- Jul 23, 2014
- 411
- 270
selengooooIla Superfeo wamezidi. mi husafiri nao mara kwa mara. kuna siku nilipanda Sajda ndiyo nikaona kautofauti. Ile ni kampuni kubwa na ina watu wengi wachague mtu atakae kuwa anashughulikia enterteinment kwenye mabasi. wanamovie ya utani na ile ya selengo. miaka nenda miaka rudi.
Pia mimi nimegundua safarini watu wengi tunapenda movie za wanyama. hizo zimejaa kibao mitandaoni. waweke hizo kwa wingi. Yaani badala ya kutuburudisha wanaishia kutuchosha.