Swala la bajeti hua ni tatizo kwa nchi za africa

NgugiAchebe

JF-Expert Member
Jul 11, 2016
1,024
688
Nilikua Na sikiliza TV Moja wapo ya Kenya wananchi wanavyo lalamika kuhusu bajeti yao ya mwaka jana hijatekelezwa kwa % 65 Na sasa wanapanga bajeti yawisho kubwa isiotekelezeka nikabaki nashangaa tu
Na Kenya imekua kama bajeti yetu ya magufuli ya mwendo kasi isiotekelezeka
 
Back
Top Bottom