Swahili translator from kenya | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swahili translator from kenya

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by MtuSomeone, Feb 7, 2009.

 1. MtuSomeone

  MtuSomeone Member

  #1
  Feb 7, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  :confused:
  An American preaching couple ( Reverend Mr & Mrs Stumbles) held a crusade
  in Kiambu where Njoroge, their Kiswahili translator, did a real mess of the
  whole event..... and meaning

  Rev STUMBLE:
  Everything comes from above.!!
  Kamau: Vitu vyote huja juu juu,

  STUMBLE: So you see my brothers and sisters,
  Kamau:.......Basi ndugu zangu waangalieni akina dada,

  STUMBLE: know perfectly well,
  Kamau:.....Na muwajue vizuri sana,

  STUMBLE: That all world affairs,
  Kamau:.........Kwamba mapenzi yote duniani,

  STUMBLE: are successfull only if held from above,
  Kamau:.............Hufanikiwa tu ikiwa mmeshikana juu juu.

  STUMBLE: Remember, faith is your pillar,
  Kamau:...Kumbuka kuuamini mlingoti wako,

  STUMBLE: Keep it first and above,
  Kamau:..............uuweke kwanza juu juu.

  STUMBLE: Let it run very deep and strong,
  Kamau:...............Ndo kisha uukimbize ndani kabisa tena kwa nguvu,

  STUMBLE:Should anybody want to test you,
  Kamau:..............Mtu yeyote akitaka kukuonja,

  STUMBLE:......will feel its work,
  Kamau:...............Ataisikia kazi yake

  STUMBLE: Then from deep inside you'll feel peace pouring out,
  Kamau:........ndo kisha baadaye utasikia kutoka ndani sehemu moja ikimwagika nje,

  STUMBLE: That peace will flow and enter even those you are with,
  Kamau:.......Sehemu hiyo ita tiririka na kumwingia uliye naye,

  STUMBLE: and that peace will remain.
  Kamau:..............Na sehemu hiyo itabakia.

  STUMBLE: Amen.
  Kamau:............Huyo ni mwanamme ......!!
   
 2. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #2
  Feb 7, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  naona leo umeingia mapema vipi huko mambo yanakwendaje
   
 3. MtuSomeone

  MtuSomeone Member

  #3
  Feb 7, 2009
  Joined: Dec 7, 2008
  Messages: 58
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nimeimiss jamii forum!! si unajua ubangaizaji wa huku??
   
 4. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #4
  Feb 7, 2009
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  sikuoni kwenye skype
   
 5. Mwana wa Mungu

  Mwana wa Mungu JF-Expert Member

  #5
  Feb 7, 2009
  Joined: Aug 14, 2008
  Messages: 1,007
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hahaha, hii inachekesha. mlima migomba kule bukoba anataka kumfundisha masai na msukuma kukamua maziwa ya ng'ombe...wakati mwenzie ni kazi yake toka amezaliwa.kiswahili cha wakenya kwa kweli kinatia kigugumizi kukisikiliza, ukisikia mara moja tu hutamani usikie tena. wengi ambao tuko nje tunaona wanavyojifanya walimu wa kiswahili, lakini wakimwona mbongo tu anawasogelea huwa wanakuwa intimidated na wanachukia sana. hapohapo kuongea kiswahili kunaisha wanaanza kiingereza kwasababu wakiongea kiswahili tu wanaona hadia ibu wao wenyewe. tujenge shule nyingi za kuwafundisha kiswahili hapa bongo kabla ya ku merge.
   
 6. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #6
  Feb 9, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Mkalimani mmoja alikuwa akitafsiri maneno ya mchungaji wa kizungu alipokuwa akiongea na waumini kanisani.

  Mambo yalikuwa namna hii...

  Mzungu: My name is Living Stone

  Mkalimani: Anasema jina lake ni jiwe linaloishi

  Mzungu: I came from Johanesburg.

  Mkalimani: Ametokea katika mfuko wa Yohana.

  Mzungu: I like Banana, tomatoes and to play dies

  Mkalimani: Anapendelea kubanana, kutomasana na mchezo wa kufa.

  Waumuni kusikia vile wakaanza kuguna na kutawanyika mmoja baada ya mwingine...
   
Loading...