Swahili Translation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Swahili Translation

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by BadoNipo, Jul 15, 2008.

 1. BadoNipo

  BadoNipo Senior Member

  #1
  Jul 15, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 175
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  1. Madirisha Elfu Mbili Mtumishi (Windows 2000 Server)
  2. Madirisha Elfu Mbili Mtaalamu (Windows 2000 Professional)
  3. Jedwali Changamfu (Active Directory)
  4. Mtazamo (MS Outlook)
  5. Mtazamo Ulioharakishwa (Outlook Express)
  6a. Mtambo wako unakimbia nje ya kumbukumbu dhanifu (Your system is
  running out of Virtual Memory)
  6b. Punguza namba ya Tumizi zilizowazi (Reduce the number of open
  applications)

  And

  7. Mtambo wako umefanya mpango kabambe usiokuwa halali na sasa utafungwa
  (Your system has performed an illegal operation and will be closed down)
   
 2. BiMkubwa

  BiMkubwa JF-Expert Member

  #2
  Jul 15, 2008
  Joined: Jan 9, 2007
  Messages: 530
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Hello Mkuu, Naomba nijaribu kidogo kutoa tafsiri ya hayo maneno uliyotoa. Katika baadhi ya tafsiri umetoa word-to-word translation bila kuzingatia lugha ya Kiswahili ina mpangilio tofauti na Kiingereza. Ngoja nijaribu kidogo hapa;

  1. Mpakuaji wa Madirisha Elfu Mbili (Windows 2000 Server)
  2. Mtaalam wa Madirisha Elfu Mbili (Windows 2000 Professional) Itanibidi nirudie hii badaye kidogo
  3. Jedwali hai (Active Directory)
  4. Mtazamo (MS Outlook)
  5. Mtazamo wa haraka (Outlook Express)
  6a. Mtambo wako unaishiwa na kumbukumbu "dhanifu" (Your system is
  running out of Virtual Memory)
  6b. Punguza idadi ya matumizi yaliyowazi (Reduce the number of open
  applications)

  And

  7. Mtambo wako umefanya operesheni haramu na sasa utafungwa
  (Your system has performed an illegal operation and will be closed down)
   
Loading...