Swahili language now compulsory in Ugandan schools

Hawatatoboa. Wanaliona kama lugha geni au ya watu wa ngazi za chini.
 
Ni lazima Afrika Mashariki tuinue na tukuze kiswahili kama lugha yetu ili nasi tupate kuwasema hawa Watu weupe!
 
Watu wengine hatuelewi kuwa nguvu ya lugha ya kiswahili ni zaidi ya nguvu ya tsunami yoyote iliyo wahi ipiga dunia. Kiswahili kinazikumba nchi zote za Africa Mashariki halafu nchi zinazopakana na nchi hizi Nazi zitakumbwa tu.
 
Nilikuwa na mawazo nchi za South Sudan,Rwanda,Burundi,Congo DRC,Zambia,Malawi & Msumbiji Tanzania kupitia wizara ya mambo ya nje ifanye jitihada za nguvu kuhakikisha kiswahili kinafundishwa ngazi ya shule za msingi hadi sekondari.
 
Back
Top Bottom