Koborer
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 1,020
- 272
A good one for regional integration.
Swahili language now compulsory in Ugandan schools | East & Horn Africa
Swahili language now compulsory in Ugandan schools | East & Horn Africa
na wewe unajihesabu mwenye kufahamu kiswahili na uandishi huuHawatatoboa. Wanaliona kama lugha geni au ya watu wa ngazi za chini.
na wewe unajihesabu mwenye kufahamu kiswahili na uandishi huu
hahaa ...pumbuni umemkamata huyu mbunina wewe unajihesabu mwenye kufahamu kiswahili na uandishi huu
potea mbali geza, wewe sio mwalimu wangu, usinisahihishe ,itaniongeza ugali sahani? Wewe ndio mwenye hati miliki ya lugha?na wewe unajihesabu mwenye kufahamu kiswahili na uandishi huu