Swagga za wadada tunaokutana nao mlimani city.

sura za kitambaa zinakuangusha wanakuchukulia pimbi!

yeah!!me pimbi lakin nina mawe ya kutosha kukufinance ww pamoja na wote uwapendao,sasa we sharouharo una nin zaid ya kutembelea magari ya kuazima na kupga mizinga ya vocha hapa mjini?
 
We Kongosho wacha maneno yako, unafikiri kila aliyeko Ulaya/USA ni mbeba Mabox! Ka! watu tunakazi zetu huku kaka, siyo lazima wote tuwe Dar.

Definition ya "Mbeba Box"=mbongo yeyote alieko ughaibuni whether ni US, UK, Canada etc ambaye anafanya kazi yoyote haijalishi iwe white collar or blue collar profession. Ndio maana hata John Mashaka ingawa yeye ni investment banker lakini bado ni mbeba box mwenzetu.Tunatumia hili neno la kubeba box kama humor. Usikonde.
 
Wabongo tunapenda sana kua juu hela hatuna tunakoga vumbi hadi kwenye meno,watu wana magari mabaya makuu lakin akija mliman city akipark pale anatanua mikono utafikiri ameshuka ndani ya Maybach or Aston martin wananikera kinoma,au hawamuoni hasheem thabit akija pale anapark vogue nyeusi fresh tu wewe na ki-collora chako cha 89 unatanua makwapa
Kwahiyo unakereka na watu kuona fahari na magari yao hata kama hayako juu kwa vipimo vyako?Kaaaaazi kweli kweli.
 
Wabongo tunapenda sana kua juu hela hatuna tunakoga vumbi hadi kwenye meno,watu wana magari mabaya makuu lakin akija mliman city akipark pale anatanua mikono utafikiri ameshuka ndani ya Maybach or Aston martin wananikera kinoma,au hawamuoni hasheem thabit akija pale anapark vogue nyeusi fresh tu wewe na ki-collora chako cha 89 unatanua makwapa
kwahiyo ukienda pale kazi yako kuchunguza nani kaja na gari gani!acha upimbi....walimbwende ndo kila kitu!mbwembwe zote zile pale za wanaume na kuvimbiana ni kwaajili yao!
 
Wewe King Kong jikune ujipatapo. Sasa ikiwa Hashim Thabeet anapark vogue ndiyo na sote tuanze kutafuta mavogue?

Wacha turinge na hivyo hivyo Mungu alivyotubarikia hata kama ni Vistarlet, Vitz au Nissan March. Kwanza hivyo havili mafuta kwenye foleni za Dar, jaribu kuringa na hilo vogue lako uone kama utaliweza kwa mshahara wa Tz.

Bintimkongwe,nakubaliana na wewe kabisa ila hapa nazungumzia sisi wabongo kwa mbwembwe hatujambo,mtu anapark suzuki ya mwaka 70 lakini ana-swagga utafikiri ameshuka ndani ya Limo haaaaaa,mafuta yenyewe kaweka ya buku4 lol
 
kwahiyo ukienda pale kazi yako kuchunguza nani kaja na gari gani!acha upimbi....walimbwende ndo kila kitu!mbwembwe zote zile pale za wanaume na kuvimbiana ni kwaajili yao!

Muuza nyago,mie kwangu gari ndo kwanza hawa warembo sio issue sana kwani kuna msemo unasema "utapoteza hela nyingi kwa kutafuta wasichana ila hautapoteza msichana ukiwa unatafuta hela","you can lose money chasing women, but you can never lose woman chasing money"-Nas Escober
 
Definition ya "Mbeba Box"=mbongo yeyote alieko ughaibuni whether ni US, UK, Canada etc ambaye anafanya kazi yoyote haijalishi iwe white collar or blue collar profession. Ndio maana hata John Mashaka ingawa yeye ni investment banker lakini bado ni mbeba box mwenzetu.Tunatumia hili neno la kubeba box kama humor. Usikonde.

Mbeba Box-definition imetulia

Mla vumbi ~ Ni mtu anayeishi tanzania
 
asante kwa hii definition
nilimshangaa kuona kawa ofended kwa kitu ndogo kama hii

mbona walio tz sometimes wanawaita wala vumbi na hatujali?

Definition ya "Mbeba Box"=mbongo yeyote alieko ughaibuni whether ni US, UK, Canada etc ambaye anafanya kazi yoyote haijalishi iwe white collar or blue collar profession. Ndio maana hata John Mashaka ingawa yeye ni investment banker lakini bado ni mbeba box mwenzetu.Tunatumia hili neno la kubeba box kama humor. Usikonde.
 
Definition ya "Mbeba Box"=mbongo yeyote alieko ughaibuni whether ni US, UK, Canada etc ambaye anafanya kazi yoyote haijalishi iwe white collar or blue collar profession. Ndio maana hata John Mashaka ingawa yeye ni investment banker lakini bado ni mbeba box mwenzetu.Tunatumia hili neno la kubeba box kama humor. Usikonde.
Asante mkuu kwa ufafanuzi manake jamaa alikuwa kishajaa upepo!
 
Bint
asante kwa udadavuzi
Wewe King Kong jikune ujipatapo. Sasa ikiwa Hashim Thabeet anapark vogue ndiyo na sote tuanze kutafuta mavogue?

Wacha turinge na hivyo hivyo Mungu alivyotubarikia hata kama ni Vistarlet, Vitz au Nissan March. Kwanza hivyo havili mafuta kwenye foleni za Dar, jaribu kuringa na hilo vogue lako uone kama utaliweza kwa mshahara wa Tz.
 
Lakini hizi swagga si Mlimani city tu. Siku hizi zipo karibu kila sehemu hapa mjini kasoro labda huko vijijini.

Kushobokea Umarekani ndo mpango mzima. Kazi ya U-Turn hiyo...lol

Kama Obama akibahatika kuchaguliwa kwenye chaguzi za mwakani na itokee aje Tanzania utaona watu watakavyoshoboka humu. Mkewe atasifiwa kama vile ni bonge moja la beauty queen wakati kwa kweli ni wa kawaida mno.

Nguo atakazovaa atasifiwa utadhani ni za ajabu (ajabu ya uzuri) wakati ni za kawaida sana. Yaani hata akivaa kisketi na kiblauzi watu watashoboka tu hadi kupitiliza..'oh my god..she is so cute...she is s pretty...anapendeza sana...anajua kuvaa n.k.'

Wabongo/ Waafrika ni washobokaji sugu.
 
Back
Top Bottom