Suzzy wa E-News EATV, kipaji hutakiwi kulazimisha

497c68b4992a20ad05582a60505e2537.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeongea kweli mkuu, Suzy ni mzuri ila kama vile hajiamini, ukisikiliza sauti yake inakera anaibana mpaka basi, ukija kwenye mavazi ndio balaa, juzi alivaa kaptula mapaja yote wazi, ikaja tena amevaa kipensi cha jins halavu chini kimechanwa chanwa kama vile viguo vya saida anavyochezea muziki wake, mapaja yote wazi juu kiblauzi kimebana nyonyo..aiseeee yale mavazi si ya kuvaa kazini sijui why wanaruhusiwa?!

Kipindi chake kiko mida gani? nataka kuhakikisha kama hamumsingizii!
 
Hivi huyu dada nyie mnamuonaje, mi naona anakaribia kunifanya niache kukiangalia kipindi ambacho nakipenda. Sauti ya kuchonga, mavazi shida. Kweli kuna kazi ni kipaji na hutakiwi kulazimisha. Ananikera.
Mbona yupo vizuri tu!!

"Hatufanani kama alama za vidole"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom