suzuki vitara nyeusi tinted kinondoni mkungni polling station | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

suzuki vitara nyeusi tinted kinondoni mkungni polling station

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by bulunga, Oct 31, 2010.

 1. b

  bulunga JF-Expert Member

  #1
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 290
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Nieambia na mke wangu kuwa kuna suzuku Vitara inatint nyeusi imeingizw shuleni kwa ndani kwenye vituo vya kupigia kura ( magari mengine yapo nje) ndani yake kuna askari FFU wanacgokifanya haijulikani huwezi hata kuona ndani yake kwa sababu ya tint nyeusi, najua askari wantakiwa kulinda usalama lakini hwawa wako ndani ya gari, inatia mashaka:peep:
   
 2. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #2
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,229
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Hao ni wasanii tu..ivi kwani FFU hawapendi mabadiliko? kwanini wasijihurumie wanavyolazwa kwenye vibanda vya bati km njiwa
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Oct 31, 2010
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,035
  Trophy Points: 280
  lakini bwana bulunga kasema hapo kituoni magari mengine yanapaki nje na askari wa kulinda wapo....inakuwaje hilo leusi in and out lipaki ndani?....huo ndio wasiwasi uliopo
   
 4. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #4
  Oct 31, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Watakuwa wamebeba kura za kuchakachulia tuu,wahusika kwa nini wasihoji apo apo?
   
 5. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #5
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  yaani weshasema 'ushindi ni lazima' lazima hila zote za vitabuni zitumike ...............demokrasia afrika bado sana
   
 6. Mallaba

  Mallaba JF-Expert Member

  #6
  Oct 31, 2010
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 2,560
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  kazi bado ipo,ngoja tuendelea kuona huo uchakachuaji unaendeleaje..
   
 7. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #7
  Oct 31, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  kama wanapenda amani kwa nini wajifungie kwenye Tinted ?????????????????????????naona CCM wanafanya kila namna wapige makirikiri yao
   
 8. M

  Misterdennis JF-Expert Member

  #8
  Oct 31, 2010
  Joined: Jun 4, 2007
  Messages: 1,521
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 160
  Tutajie jina laa kata na kituo.
   
 9. R

  Rugemeleza Verified User

  #9
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 26, 2009
  Messages: 668
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Jamani mutaje vituo ili watu wa Chadema wakimbilie huko kuzuia hujuma hizo.
   
 10. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #10
  Oct 31, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  Taja kituo gani mkuu, au piga simu kwa Dr, Mgombea ubunge au Udiwani wa sehemu husika. Ukikaa unaongea bila kuchukua hatua-kama ni wizi na wewe utakuwa umefanikisha!
   
 11. Makanda

  Makanda Member

  #11
  Oct 31, 2010
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 77
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  tutabaki mido wazi wakati matokeo yatakapotangazwa kwani mahudhurio yamekuwa kidogo sehemu zingine lakini kituo kizima kitakuwa kimepiga kura huo ndo utalaam wa ccm
   
Loading...