Suzuki Swift engine 13m...

Maarko

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
1,189
602
Habari mafundi,naamini kweye hili group tuna mafundi wa kutosha.
Nina gari langu Suzuki swift inasumbua sana,linachemsha mara kwa mara.
Hii imetokea baada ya kufungua machime na kubadili ring.
Kwa mwenye naomba ushauri nifanye nini zaidi ya hapo?
 
Pole mwana jfm,subiri washika spana watasogea sasahivi na watakupa MADINI yakutosha mwenyewe utafurahi
 
Habari mafundi,naamini kweye hili group tuna mafundi wa kutosha.
Nina gari langu Suzuki swift inasumbua sana,linachemsha mara kwa mara.
Hii imetokea baada ya kufungua machime na kubadili ring.
Kwa mwenye naomba ushauri nifanye nini zaidi ya hapo?
Mkuu weka mabonge ya barafu kwenye rejeta kabla ya safari, ahsante.
 
Back
Top Bottom