suzuki grand vitara for sale

Kitomai

JF-Expert Member
May 21, 2009
1,061
281

2005 model 61541km the vehicle was bought about
Few years ago from DT Dobies as brand new. Since it was bought it as been services
By the same sale D.T. Dobies. Manual Transmission.
Price 23mil
 

Attachments

  • suzuki4.jpg
    suzuki4.jpg
    8.6 KB · Views: 114
  • suzuki 1.jpg
    suzuki 1.jpg
    8.8 KB · Views: 123
  • suzuki 2.jpg
    suzuki 2.jpg
    9.2 KB · Views: 108
  • suzuki 3.jpg
    suzuki 3.jpg
    8.1 KB · Views: 97
okkk...ila kama bei sio kwa watanzania wengi tulio wa kawaida....sio mbaya kama ukipunguza ukaanzia kwenye 15m hivi inaweza kununuliwa haraka...maana hapo kaka naona kama unauza harrier vile...ni maoni tuu
 
duh!, wabongo bana, bei ikiwa juu mnalia, ikipungua mnasema kimeo!, Loh.
mtambo uko bomba huo ukamatieni fasta.
 
duh!, wabongo bana, bei ikiwa juu mnalia, ikipungua mnasema kimeo!, Loh.
mtambo uko bomba huo ukamatieni fasta.

Yeah, kama imelipiwa kodi zote, bei si mbaya sana. Isije tu kuwa ilinunuliwa na mtumishi wa umma na ina msamaha wa baadhi ya kodi, hapo sasa inakuwa hadithi nyingine.
 
Back
Top Bottom