Suzuki Escudo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Suzuki Escudo

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jaluo_Nyeupe, Nov 18, 2011.

 1. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Nahitaji kununua Suzuki Escudo, 5doors. Iwe kwenye hali nzuri sana na isiwe imetembea km nyingi. Bajeti yangu milioni 6.
   
 2. mpinga shetani

  mpinga shetani JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 22, 2010
  Messages: 3,268
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  akina masawe wanazo nyingi tu!
   
 3. gango2

  gango2 JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 31, 2011
  Messages: 1,237
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  panda dau...minimun 8.5mil ..ntakuuzia ya kwangu!
   
 4. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  bajeti haijakaa vyema sana mkuu. Hiyo yako ipo ktk hali gani? Naweza kupata picha?
   
 5. Rugas

  Rugas JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,053
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mkuu! Kwa bajeti hiyo utauziwa bomu 100% kama unataka Escudo ya hali unayosema andaa kuanzia 9M(Tena hapo ni kwa DSM siyo mikoani).... kwa 6M hata ukiipata nakushauri usinunue labda kama unauziwa na nduguyo! 6M utapata saloon nzuri tu,lakini sio Escudo!
   
 6. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  asante kwa ushauri mkuu, bajeti haiko fixed sana inategemea na ubora wa gari lenyewe.
   
 7. r

  rmb JF-Expert Member

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 224
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Mkuu hebu weka specification zake hapa na picha yake kama hutajali
   
 8. m

  mob JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 4, 2009
  Messages: 2,027
  Likes Received: 510
  Trophy Points: 280
  kuja jamaa yangu anauza yake ni 5M iko hapa dar.ila imechoka bodi
   
 9. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #9
  Nov 20, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  naweza pata picha yake?
   
Loading...