Hujajibu swali Jino kwa jino, Hajauliza kama zinaenda na wakati au zinakulaje mafuta. Any way Bizzly kwasasa kuzipata kwenye show room itakuwa ngumu kidogo kama unataka ya kununua na upo tayari kununua inayotumika na mtu ni-Pm tuongeezishapitwa na wakati sana, ila ni nzury kwa ulaji wa mafuta