Suzuki escudo

Bizzly

Member
May 3, 2010
79
21
Tafadhali kwa ambaye anafahamu, hivi Suzuki Escudo old model za miaka ya 199...katika showrooms za hapa bongo naweza kupata kwa bei gani?

naombeni msaada wa mawazo pia kuhusu chaguo langu hilo.
 
zishapitwa na wakati sana, ila ni nzury kwa ulaji wa mafuta
Hujajibu swali Jino kwa jino, Hajauliza kama zinaenda na wakati au zinakulaje mafuta. Any way Bizzly kwasasa kuzipata kwenye show room itakuwa ngumu kidogo kama unataka ya kununua na upo tayari kununua inayotumika na mtu ni-Pm tuongee
 
Kama unaweza kununua iliyotumika ipo kwenye hali nzuri manual milioni 11 kama utahitaji piga namba 0757358296
 
Mimi ninayo ya 93, Manual gear, engine 1.6. km 146.000, haijawahi kuguswa engine. Nimeingiza kutoka Japan Nov. 2008.

Kama unahitaji ni pm
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom