Suzuki escudo NOMADE inauzwa

Original Pastor

JF-Expert Member
Nov 14, 2007
1,274
50
Wana JF nauza gari Suzuki Nomade
Ina
Type: E-TDO1W Chassis: TDO1W-213804 CC: 1590, mwaka 1994 ,Color: OVP CO4 SNSR X4(Dark green sometimes black it change colour ) Alluminium: Rim KM: 96000 Raduio Sony:Am/FM. CD& MP3 Player Insurance: Compresive, Automatic 4WD,Premier Music

imesajiliwa namba T675 BED imeingia Inchini tokea japani 26/11/2009
Karibu nimejaribu kuattach picha sasa sijui zitaonekana bei yake Tshs 14,000,000 Discount 0.5% mpaka 1% ya hela yote. karibu
 

Attachments

  • P9080250_640.jpg
    P9080250_640.jpg
    41.2 KB · Views: 214
  • P9080252_640.jpg
    P9080252_640.jpg
    60.3 KB · Views: 275
  • P9080254_640.jpg
    P9080254_640.jpg
    58.2 KB · Views: 277
  • P9080256_640.jpg
    P9080256_640.jpg
    49.7 KB · Views: 245
  • P9080277_640.jpg
    P9080277_640.jpg
    54.1 KB · Views: 234
Nice car, lakini gari ya 94 mkuu huwezi uza kwa bei hiyo.
7.5m nakupa fasta. Tuongee from there.
 
Kilomita hizo ni nyingi sana kwa bei hiyo manake kwa bei hiyo dubai unapata escudo nzuri na hata ukisafirisha bei haifiki hapo. Shusha bei mkubwa vinginevyo ukawauzie waarabu na wale jamaa wa Mererani. Vinginevyo ktk picha linaonekana ni zuri. Anyhow, I don't judge the book by its cover!
 
Yaani Wana JF inamaana humu ndani hakuna MTEJA wa kununua gari yangu kwali hatuko Siriasi.Huu mwaka wa haimati sababu sio kama imetumia Tanzania tokea mwaka huo NO. hii ilitumika JAPAN sasa wana JF JIBUNI au..........................................
 
Yaani Wana JF inamaana humu ndani hakuna MTEJA wa kununua gari yangu kwali hatuko Siriasi.Huu mwaka wa haimati sababu sio kama imetumia Tanzania tokea mwaka huo NO. hii ilitumika JAPAN sasa wana JF JIBUNI au..........................................

Utapata wateja tulia tu kuna nyingene ya mwaka huohuo lakini ni 6.5M
 
hE!!!!! kumbe haya ma suzuki yanapanda bei kila kukicha??? juzi tu si yalikua 7-9M??? Mh
 
Jamani hamuna wateja??????? JF vipi hamtaki gari?? au kusema huku watu wanachangia kisha wana slipfowad?
 
Back
Top Bottom