salam wanajamvi. kuna chuma flani kinakaa chini ya gari kwenye matairi kwaajili ya mneso kinaitwa stabilize link bar nina kitafuta kama anaweza kupata niunganishe.. nahitaji ya nyuma. gari ni suzuki aerio
View attachment 1229043View attachment 1229044View attachment 1229045
Kwahiyo toka 2019 mpaka leo alikua bado hajapata?Hiii gari stablizer link yake inaingiliana na ya toyota wish , kafunge ya toyota wish inakaa fresh