Suzani Kiwanga: Mbunge wa Kishapu sio raia wa Tanzania

Halafu nyie msilete soga Zenu humu kisa bunge halirushwi live!
 
Yule aliyetaka bangi ihalalishwe alikuwa chama gani?

Hivi bangi ni sawa na ubaguzi alioufanya Kiwanga, jaribu kuitumia akili kidogo huyo mbunge kaongea madudu ambayo ni hatari kwa taifa.
 
Kama uteuzi wa wabunge wa viti maalum CHADEMA unazingatia Undugu, ukabila, mapenzi na sio uwezo binafsi basi tarajia watu kama akina Kiwanga kuongea maneno yasiyo na staha kabisa maana hawana cha kupoteza.
Kwa taarifaa yako suzan kiwanga sio mbunge wa viti maaluma ni mbunge wa jimbo la mlimba mkoan morogoro acha kuishi kwa mazoea
 
Kama uteuzi wa wabunge wa viti maalum CHADEMA unazingatia Undugu, ukabila, mapenzi na sio uwezo binafsi basi tarajia watu kama akina Kiwanga kuongea maneno yasiyo na staha kabisa maana hawana cha kupoteza.
Mkuu kabla ya kuandika jiridhishe kwanza..Kiwanga ni Mbunge wa Jimbo la Mlimba mkoani Morogoro ..
 
Hivi hawa si ndio walikuwa wanapinga ubaguzi uliofanyika kisiwani?
 
Mwehu Tu Ww, Mh. Kiwanga Ni Mbunge Wa Viti MAALUM!!!? Kama Haujui Waulize Wenye Uelewa Kwanza!!!! ALAFU Kusema "Kwanza Ww Sio Mtanzania "Sio La Kushangaza, Kwani Ni Urithi Toka Chama Tawala (CCM) Juzi Tu Aliambiwa Aliyekuwa Katibu Tawala Mkoa Wa Mwanza Na RC Wake!! KUWA Ww Sio RAIA (MTANZANIA) Na Pia Hussein Bashe Alipokuwa Akitaka Kugombea Ubunge Wa Jimbo La Nzega 2010!!! Akaambiwa Sio Raia Na Kupelekea Kukatwa Jina Lake, Akiwa AMEPITA Ktk Kura Za Maoni!!! NA Kuna Wengi Tu Waulize Akina Jenerali Ulimwengu Wawambie Hali Ilivyo!!! HIVYO Mh. Kiwanga Amerudia Tu!!!
Two wrong doesnt make a right mkuu amekosea no point of justifying that kwa kulinganisha na kina nani wamefanya nini in past
 
Hivi hawa si ndio walikuwa wanapinga ubaguzi uliofanyika kisiwani?
Nyinyi mlipo mwambia Bashe kuwa siyo mtanzania mlikuwa na maana gani?au kitu kikisemwa na ccm ndio halali?uhalali huo kawapa nani?hii nchi ni yetu sote wacheni kujimilikisha
 
Kama uteuzi wa wabunge wa viti maalum CHADEMA unazingatia Undugu, ukabila, mapenzi na sio uwezo binafsi basi tarajia watu kama akina Kiwanga kuongea maneno yasiyo na staha kabisa maana hawana cha kupoteza.
Mkuu Kiwanga siyo Mbunge wa Viti Maalum,huyu ni Mbunge wa Jimbo la Mlimba lililopo katika Mkoa wa Morogoro!
Wakati mwingine muwe mnajaribu kupunguza u ngese wenu!
 
Nyinyi mlipo mwambia Bashe kuwa siyo mtanzania mlikuwa na maana gani?au kitu kikisemwa na ccm ndio halali?uhalali huo kawapa nani?hii nchi ni yetu sote wacheni kujimilikisha
Kwa hiyo kitu kikifanywa na CCM sio halali ili UKAWA wakifanya ni sahihi? Hapa suala ni kwamba CCM walikosea na hiyo haina maana kuwa nyinyi pia mrudie makosa hayo hayo eti kwa kuwa CCM walifanya. Utakuwa ni ujuha. Unataka kuniambia CCM wakikosea katika utendaji na nyie mkilirudia kosa hilohilo msikumbushwe na kukosolewa? Huo uhalali mnautoa wapi?
 
Back
Top Bottom