idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,282
- 38,359
Akichangia leo Mpango wa serikali bungeni Mh.Suzan Kiwanga wa CHADEMA, alitamka maneno yasiyo na staha bungeni ambayo yalitafusiriwa kama matusi .
Ndipo mbunge wa Kishapu aliposimama na kumwomba mwongozo Mwenyekiti, kwa kumtaka Suzan afute baadhi ya maneno yake maana hayana staha.
Ndipo aliposimama Suzan na kumwambia mbunge wa Kishapu kuwa "kwanza wewe sio raia wa Tanzania " (huyo mbunge ana asili ya Kiarabu )
Hata alipotakiwa na mwenyekiti afute maneno yake ya ubaguzi la sivyo atamtoa nje kama kanuni inavyotaka, Suzan akajibu kwa mipasho kuwa "kama kufuta nafuta tu na maisha yaendeleee".!
NB. Kuna haja ya Mbowe kuwapa semina elekezi wabunge wake maana wanazidi kuonekana kituko.