Mtu wa Pwani
JF-Expert Member
- Dec 26, 2006
- 4,184
- 671
mnoko taratibu ndugu yangu, uwanja una mashimo huu utakuja kuvunja taya.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Suzy mwenyewe mbona bado yuko London hiyo kazi amepewa lini? leo alihudhuria mazishi ya Kari Blackburn (ex-BBC World Service Africa editor)
huyu mmewe suzan M<ungi si alikuwa British airways kipindi flani?
duh!yangu macho!!kumbe mke akiwa hajui kusema NO! inalipa? hivi kumbe huyu TIDO kabebwa tu ndo maana hata EL anamsifia sana? ya suzan ndo nayapata hapa!mwageni vitu.Spoila.
Lowassa kala sana huyu Suzane na bahati mbaya mumewe Innocent ameambiwa El ni binamu yao sasa kila sehemu akienda Innocent mungy atamba kuwa Lowassa ni binamu yetu, kumbe jamaa ana mlia vyake.
Tido Mhando nae anajua anaiba yeye tu. kumbe ngoma ya wengi.
Kitila
Salva ana vyeo sehemu kama mbili mjumbe wa bodi na pia taasisi ya utangazaji ni bodi memba. hilo la kujikomba liko wazi sana lakini hutumia fursa ya mtandao kuwaibia watu mitaani. hafai.
back 2 issue suzane ni very junior. mumewe kapewa kazi na LOWASSA ofisini kwake. ndio raha ya kuwa na mke asiyejua kusema NO!
What a u turn! leo ndio umegundua kuna msamiati "unafiki" if any u should be on top of the list!
Wewe ndio architect wa fitna, chuki, uzandiki u name it.. sio wewe uliesema sisi watu wa bara hatuna ustaarabu eti ustaarabu upo pwani! give me a break.
Hii njaa yako itaku-cost sound unafanya JF mahala pa kuganga njaa yako kwa ku groom na kubomoa personalities za watu. U have now confirmed what I already know.
Mswahili ni mtu wa kuogopwa kama ukoma unawagawa watu kwa misingi ya dini, ukanda nk. I warned u b4 and thought mayb u will change but ur getting even worse.
Acha demokrasia ya JF ichukue mkondo wake, whos Suzanne by the way unaetaka watu wasimjadili? Wanajadiliwa vingunge hapa JK, EL, Shein etc seuze huyo Suzanne wako njaa yako itakuua Mswahili
Im out..