Ninalojiuliza, je huyu Suzan Mungy ndiye yule aliwahi kujadiliwa na watu huko nyuma kama Suzan Mushy wa Reading au huyu ni mtu tofauti.
Watu wawili tofauti, yule wa Reading ni Suzane Shayo Mzee na huyu ni suzane Mungi alikuwa idhaa ya kiswahili -British Broadcast Corporation-B.B.C
naona si vibaya wanawake kupewa fursa kama hizi.
Dah,Technical know who ndio ipo Bongo!Mtu,
Kanuni za ajira ya umma bongo hazijali kigezo cha elimu bali nani unamjua,au to put it in its right perspective "it's who you know and not what you know...."
Huyo Suzan na mumewe walikuwa wanashindana walipokuwa pamoja London.Mume alikuwa moto-bati mke nae alikuwa hashikiki.In fact ndoa yao ilikuwa ni ya kinadharia zaidi kuliko vitendo.Wote viwembe.Vikao vya upatanishi vilikuwa vikifanyika mara kwa mara when they were together in London,sasa huko Bongo nadhani ndio wanaenda kuzika ndoa yao.Why?Hapa wambeya walikuwa wachache kuvujisha nyeti lakini si unajua tena Bongo....
Si utani ndugu yangu.Yaani inaelekea Suzan alishaahidiwa madaraka kabla hajatua Bongo.Just like mumewe,nobody knows namna alivyopata huo ulaji serikalini lkn mshkaji mmoja alinambia kuwa japo post hiyo alochukua Innocent ilitangazwa kwenye magazeti lkn tayari jamaa alishakuwa na hakika ya ajira.
Acheni kuleta udaku, leteni elimu yake na kama kazi haikutangazwa....
Dada Suzane yuko fit.
Wajameni nimesoma pages 4 sasa natumai nione Cv lakini wapi...!!!