Suzan Wambui; Mkenya anayepambana kuokoa maisha ya watoto kwa kuwapeleka Tanzania kupata matibabu bora

😅😅😅

Tupate ujumbe kutoka studio

Screenshot_20220118-084331.png

wenyeji wa Taveta na Taita ni ndugu wa damu na Wapare huku Tanzania. haina tatizo kama wananchi hao watakuja kutibiwa huku tanzania.
 
MK254 sijakuona hapa
Yuko kwenye barabara, huku amekubali kwamba hawana jinsi, siku nyingi walikua hawakubali kwa kisingizio cha Tundu Lissu, ukweli wameujia wamezima ghafla, hata huko kwenye barabara pia watakubali mziki wa Tanzania.
 
MK254 sijakuona hapa😃

KCMC ni top hospital in Tanzania with a world ranking of 5538, ukizingatia Muhimbili imetupwa kwenye 9363
Sasa hiyo KCMC iko Kilimanjaro, mkoa uliopakana na Kenya upande wa Kusini, walio kwenye ya gatuzi la Taita ambao wana undugu na Wapare sioni kwanini wasichangamkie huduma ya hiyo hospitali.
Japo pia uongozi wa hilo gatuzi wanapaswa wafanye kazi yao ipasavyo kuhakikisha huduma bora inafikia mpaka kwa Wakenya waliopo huko mipakani.
Hiyo KCMC ndio hospitali pekee iliyo kwenye top 30 in Africa, ilhali Kenya zipo nyingi Africa | Ranking Web of Hospitals
 
Huu Uzi unahusiana na Jakaya Kikwete Cardiac Institute, wacha kukwepesha mada, hizo Hospital zilizopo kwenye hiyo orodha yako hakuna hata Moja yenye uwezo wa kufanya Operation za Moyo Kama inazofanya Muhimbili, ndio sababu Suzan Wamboi amekimbilia Muhimbili
 
..Watz tuache ushamba.

..hata sisi tunasaidiwa, kuna tatizo gani kuwasaidia ndugu zetu wa Kenya.
 
Masikini akipata matako hulia pwa pwa pwa
Kitu kidogo wabongo mnasambaza kwani kipi Cha ajabu? Acheni Ushamba watanzania wenzangu
Huu ni ulimbukeni
Ni sawa na umpe jirani yako chakula then umseme
 
Masikini akipata matako hulia pwa pwa pwa
Kitu kidogo wabongo mnasambaza kwani kipi Cha ajabu? Acheni Ushamba watanzania wenzangu
Huu ni ulimbukeni
Ni sawa na umpe jirani yako chakula then umseme
Inaonekana wewe ni mgeni ktk hii forum, tafadhali jipe muda kidogo utaelewa kwanini iwe hivi.
 
Back
Top Bottom