Tatizo mtatuambukiza "tribalism, corruption, wizi, na roho mbayaMimi nataka uraiyaa kwanza.
Japo wao ndio wanaofaidika kwa kupata huduma ambazo kwao hazipatikani, lakini bado wanakasirika kusikia ni TanzaniaHapa hutowaona
Hapa hutowaona 😅😅😅😅
MK254 sijakuona hapa😃
😂😂👌Tatizo mtatuambukiza "tribalism, corruption, wizi, na roho mbaya
Huu Uzi unahusiana na Jakaya Kikwete Cardiac Institute, wacha kukwepesha mada, hizo Hospital zilizopo kwenye hiyo orodha yako hakuna hata Moja yenye uwezo wa kufanya Operation za Moyo Kama inazofanya Muhimbili, ndio sababu Suzan Wamboi amekimbilia MuhimbiliKCMC ni top hospital in Tanzania with a world ranking of 5538, ukizingatia Muhimbili imetupwa kwenye 9363
Sasa hiyo KCMC iko Kilimanjaro, mkoa uliopakana na Kenya upande wa Kusini, walio kwenye ya gatuzi la Taita ambao wana undugu na Wapare sioni kwanini wasichangamkie huduma ya hiyo hospitali.
Japo pia uongozi wa hilo gatuzi wanapaswa wafanye kazi yao ipasavyo kuhakikisha huduma bora inafikia mpaka kwa Wakenya waliopo huko mipakani.
Hiyo KCMC ndio hospitali pekee iliyo kwenye top 30 in Africa, ilhali Kenya zipo nyingi Africa | Ranking Web of Hospitals
Mkuu hakuna aliyekataa hawa jirani zetu kusaidiwa, shida ipo kwa hawa nyang'au wa hapa jf...huwa hawakubali kwamba mkenya anaweza akasaidiwa na mtz...Watz tuache ushamba.
..hata sisi tunasaidiwa, kuna tatizo gani kuwasaidia ndugu zetu wa Kenya.
Inaonekana wewe ni mgeni ktk hii forum, tafadhali jipe muda kidogo utaelewa kwanini iwe hivi.Masikini akipata matako hulia pwa pwa pwa
Kitu kidogo wabongo mnasambaza kwani kipi Cha ajabu? Acheni Ushamba watanzania wenzangu
Huu ni ulimbukeni
Ni sawa na umpe jirani yako chakula then umseme