Suzan kiwanga na Peter Lijuakali waendelea kusoteshwa mahabusu

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Wabunge wawili wa Chadema wa Kilombero na Mlimba Peter Lijuakali na Suzan Kiwanga wamenyimwa tena dhamana leo na kurudishwa Mahabusu hadi tarehe 7 ,

Ikumbukwe kwamba hawa na baadhi ya wanachama wengine wa Chadema walishashinda kesi hii na kuachiwa huru , moja ya tuhuma za kupangwa waliyobambikiwa ni kuchoma moto ofisi ya kijiji .

Mungu ibariki Chadema

17 Tanzanian opposition legislators face various politically motivated offenses .jpg
 
kazi ya kwanza kwa kiongozi yeyote makini ni kuwaunganisha wana taifa wote kuwa wamoja. kama ukishindwa kazi hii muhimu hayo maendeleo itakuwa ni ndoto!!.

Na dawa kubwa ya umoja wa kitaifa ni HAKI kwa wote.
 
Hawa ni wajinga acha wakae ndani hadi akili zao zibalehe. Haiwezekani Mbunge mzima ahusike kuchoma moto ofisi ya kijiji na jaribio la kuchoma moto zahanati, hizi sio akili za aliye balehe, haya matukio yalizoelekea kwa wanafunzi wa sekondary tena huko 90s.
Kama walichoma mbona waliachiwa huru?
 
Hawa ni wajinga acha wakae ndani hadi akili zao zibalehe. Haiwezekani Mbunge mzima ahusike kuchoma moto ofisi ya kijiji na jaribio la kuchoma moto zahanati, hizi sio akili za aliye balehe, haya matukio yalizoelekea kwa wanafunzi wa sekondary tena huko 90s.
Kama na wewe unasapoti upuuzi kama huu basi na wewe n mjinga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa ni wajinga acha wakae ndani hadi akili zao zibalehe. Haiwezekani Mbunge mzima ahusike kuchoma moto ofisi ya kijiji na jaribio la kuchoma moto zahanati, hizi sio akili za aliye balehe, haya matukio yalizoelekea kwa wanafunzi wa sekondary tena huko 90s.

Nnaona ume geuka kuwa Hakimu ,endelea tu kutoa tu Hukumu ila kumbuka Maisha ni kama Gwaride.
 
Hawa ni wajinga acha wakae ndani hadi akili zao zibalehe. Haiwezekani Mbunge mzima ahusike kuchoma moto ofisi ya kijiji na jaribio la kuchoma moto zahanati, hizi sio akili za aliye balehe, haya matukio yalizoelekea kwa wanafunzi wa sekondary tena huko 90s.
Mahakama ndiyo inahukumu,wewe ni nani,una ushahidi? Ninyi ni kikazi cha nyoka. Pandeni chuki tu.
Kama nchi yenye nguvu balozi zake Kenya na Tanzania, Kituo cha biashara kule marekani vililipuliwa IPO siku yaja. Bila msitafute mchawi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Nataman kuiona sura yako siku utakaposikia hawana hatia. Roho mbaya haikupi chochote zaid ya moto. Ni sawa kuwa kuwa na upande wako kimtazamo ila isiwe kishetan basi. Haya MBOWE yupo uraian unazan kukaa kwake ndani ww umepata nn?
Hawa ni wajinga acha wakae ndani hadi akili zao zibalehe. Haiwezekani Mbunge mzima ahusike kuchoma moto ofisi ya kijiji na jaribio la kuchoma moto zahanati, hizi sio akili za aliye balehe, haya matukio yalizoelekea kwa wanafunzi wa sekondary tena huko 90s.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ninachoamini ni kwamba hata serikali inayojiita ya awamu ya 5 ikikaa madarakani miaka 100 ipo siku itapita tu na watasahau kama waliwahi kuwa viongozi ....ushamba gani huu yani makosa yote wanafanya upinzani tu???
 
Wabunge wawili wa Chadema wa Kilombero na Mlimba Peter Lijuakali na Suzan Kiwanga wamenyimwa tena dhamana leo na kurudishwa Mahabusu hadi tarehe 7 ,

Ikumbukwe kwamba hawa na baadhi ya wanachama wengine wa Chadema walishashinda kesi hii na kuachiwa huru , moja ya tuhuma za kupangwa waliyobambikiwa ni kuchoma moto ofisi ya kijiji .

Mungu ibariki Chadema

View attachment 1037997
Wajifunze adabu!

Kubambikwa ?,subiri sheria ifuate mkondo wake,acha ramli chonganishi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom