nyambaya kurwaki
Senior Member
- Apr 8, 2020
- 133
- 155
Wacha aende hizi ni nyakati za wapambanaji halisi si nyakati za magugu maji
Wakuu hii tetesi ni ya moto moto kabisa. Mchana huu nimepata fununu kutoka kwa mtu wa karibu wa Mbunge wa Jimbo la Mlimba,wilayani Kilombero, Mkoani Morogoro, Suzan Kiwanga. Tetesi ni kwamba Mama huyo machachari amekata tamaa na hana pa kushika.
CHADEMA Wilayani Kilombero imeparaganyika na hivyo hana sapoti kabisa. Zaidi ya yote ameishiwa hoja kwa kuwa sehemu kubwa ya yale alokuwa akilalamikia serikali sikivu ya CCM chini ya uongozi shupavu wa Rais Magufuli umeyafanyia kazi.
Mama Kiwanga yu njiani kujiunga na CCM.
Tetesi hizi ni kwa mujibu wa mtu wa karibu sana wa mbunge huyo.