SUWASA acheni kubambikia wateja bili za maji

mpimamstaafu

JF-Expert Member
Jul 18, 2018
4,445
4,704
Hakika inasikitisha sana kwa Mamlaka ya Maji SUWASA kuwababikizia Bili kubwa za Maji wakazi wa Mji wa Sumbawanga. Kuna tabia ya wasoma Mita kutofika kabisa kusoma mita badala yake wanachezesha hesabu zao.

Nashauri kwa kuwa bado SUWASA hawana utaratibu wa Luku kama TANESCO basi kuwe na Kadi maalumu ambayo itakuwa kwa mwenye nyumba ili msoma mita anapofika kusoma mita ajaze namba alizosoma na kuweka sahihi yake ili mhusika nae aweze kuhakiki kilichosomwa na kilicho andikwa ili Bili itakapotoka kusiwe na malalamiko.
 
Back
Top Bottom