mpe zile skin.hapa aminia utampa vitu vya uhakika sipati pichakwanza unataka suti ya aina gani...1 button, 2 button, vested, peak lapel au tuxedo...au unataka suti ili mradi iwe suti tu.
Wana jfm habari!kwa wenye ufahamu ni wapi ntapata suti nzuri kwaajili ya harusi kwa hapa dar,naomba nifahamishwe.
Zile atapata kwa sana tu ila asije na 150,000 au 250,000 kama atakuwa anataka hizo ila itabidi apige picha nione mwili wake kwanzampe zile skin.hapa aminia utampa vitu vya uhakika sipati picha
Kwanza unataka suti ya aina gani...1 Button, 2 Button, Vested, Peak Lapel au Tuxedo...au unataka suti ili mradi iwe suti tu.
Mkuu The Finest msaada, ipi kare hapo? maana wengine hatujawahi vaa suti, ila hivi karibuni kuna kamnuso nimealikwa na kutakuwa na totoz za ukweli, nataka nitimbe kijentomeni.
Mbimbinho inategemea na mwili wako na occasion yenyewe lakini single button au 2 button suit mtu unatoka bomba kama hiyo aliyoweka mkonowapakaMkuu The Finest msaada, ipi kare hapo? maana wengine hatujawahi vaa suti, ila hivi karibuni kuna kamnuso nimealikwa na kutakuwa na totoz za ukweli, nataka nitimbe kijentomeni.
Hahahaha!!! Saint Ivuga kaka kama kawaida yakokaka haturuhusiwi kutimba huko?
How to Wear It(1) Go for the Lean Look
Your shirt and tie should follow the streamlined proportions of your suit, so stick with small collars and trim neckwear.(2) Don't Overlook Your Belt
Even when closed, a one-button jacket will expose your waist. A skinny belt with a simple buckle is all you need.Suit ($1,095) and shirt ($275) by D&G. Tie ($150) by YSL. Pocket Square ($115) by Brunello Cucinelli. Belt ($830) and shoes ($1,320) by Tom Ford.
tajibeba
Huko zipo za ukweli??mhh njoo nikuonyeshe duka uku tandalae
Bushloiaz yah man i got a right person with good qualityTF una sehemu nini?Tuambiane mkuu tukuungishe
Mbimbinho inategemea na mwili wako na occasion yenyewe lakini single button au 2 button suit mtu unatoka bomba kama hiyo aliyoweka mkonowapaka