Suti!! Suti!! Suti!!suti!!suti!!......

Jul 21, 2012
86
21
Wakuu,

ninayo furaha kuwatangazia Gentlemen wote kuwa suti mpya na kali zimewasili tayari kwa kuwapendezesha makazini, harusini na hasa kipindi hiki cha holiday season...

Bei yetu, baada ya kukupima na kukupatia suit ya choice yako ni TShs 120,000 tu @..kwa Dar es Salaam tunafanya delivery popote pale ulipo kwa gharama zetu pekee...kwa hivyo unaweza kuagiza suti yako ukiwa ofisini bila kusumbuka...

For more info tafadhali tupigie kwenye +255 757-429923 na +255 789-429923....na like hii facebook page yetu pia kuona more samples...Lorenzo fashions Dar | Facebook

Asanteni na karibuni sana.

LorenzoFashions Dar!
Dress with us, and rock!!
 
Attachments

  • model suit 3.png
    model suit 3.png
    56.1 KB · Views: 319
Wakuu,

ninayo furaha kuwatangazia Gentlemen wote kuwa suti mpya na kali zimewasili tayari kwa kuwapendezesha makazini, harusini na hasa kipindi hiki cha holiday season...

Bei yetu, baada ya kukupima na kukupatia suit ya choice yako ni TShs 120,000 tu @..kwa Dar es Salaam tunafanya delivery popote pale ulipo kwa gharama zetu pekee...kwa hivyo unaweza kuagiza suti yako ukiwa ofisini bila kusumbuka...

For more info tafadhali tupigie kwenye +255 757-429923 na +255 789-429923....na like hii facebook page yetu pia kuona more samples...Lorenzo fashions Dar | Facebook

Asanteni na karibuni sana.

LorenzoFashions Dar!
Dress with us, and rock!!

Ofisi zenu (eneo la biashara) ziko wapi hapa Dar? Tafadhali elekeza
 
Mkuu Q Man..tuna store kariakoo na Mwenge...lakini tunafanya delivery popote ulipo Dar es Salaam baada ya kutuambia unahitaji suti ya aina gani, rangi, size n.k...tafadhali tucheki kwenye simu muda wote

karibu sana...
 
Last edited by a moderator:
Nahitaji single button, naweza kupata mkuu?

Si nasikia TID anadai single button hazishoneshwi? Nahisi huwa zinatoka mbinguni sasa sijui kama bei nitaiweza kwasababu na mimi nataka moja ili nikirudi Moshi Christmas hii mama Neema ashangae mwenyewe na roho yake.

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
mkuu hebu jaribu kuwa specific, mwenge sehemu gani maana mwenge kubwa au kariakoo. toa physical address. wengine dsm huwa wanapita tu, itakuwa si mbaya pia hata ukitoa option ya mtu kuja ofisini. bei yenu ni nzuri tu.
 
Asante mkuu,,,ukipiga simu nitakuelekeza vizuri sana,..shaka ondoa
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom